Baadhi ya wafwasi wa Chama Cha ANC wilayani Navakholo wameshtumu Chama Cha ODM kwa kutumia mbinu ghushi kwenye kampeni za kushinda uchaguzi mdogo wa Matungu

Wakiongozwa na Ben Shibona wafwasi hao wamemtahadharisha naibu mwenyekiti wa Chama hicho ambaye pia ni gavana wa Kakamega dhidi ya kulazimisha wakaazi wa Matungu kumchagua mgombea wao ambaye ni David Were

Shibona vile vile ametilia shaka agizo la waziri wa elimu la  kuwapiga marufuku wanaabari dhidi ya kuzuru shule wakati huu

Aidha ameonyesha kutoridhika na mikakati iliyowekwa na serikali kuzuiya kusambaa kwa virusi vya Corona haswa kwenye shule za humu nchini

Story by James Nadwa

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE