0202322172

info@lubaofm.co.ke

Uniting Communities

Listen Live

102.2 FM Live

ON AIR

UP NEXT

Local news

Wanafunzi_Shule ya Msingi_Bukhaywa

Muungano wa Walimu wakuu KESSHA Kaunti ya Kakamega wapongeza Serikali kwa kufungua shule.

Kiongozi Wa Muungano Wa Walimu Wa Shule Za Upili KESSHA Kaunti Ya Kakamega Ambaye Pia Ni Mwalimu Mkuu Wa Shule Ya Upili Ya Bukhaywa Michael Amukoha Amepongeza Hatua Ya Serikali Kufungua Shule Muhula Wa Pili Baada Ya Likizo Ndefu Iliyotokana Na  Janga La Covid19 Tangu Mwezi Machi Mwaka Jana Akizungumza Afisini Mwake Na Kituo Hiki …

Muungano wa Walimu wakuu KESSHA Kaunti ya Kakamega wapongeza Serikali kwa kufungua shule. Read More »

Mwili wa mwanamke wapatikana mtoni Shinyalu, Kakamega

Hali ya majonzi imetanda katika kijiji cha Ishisembe Kata ya Muranda eneo la Shinyalu Kaunti ya Kakamega baada ya mwili wa mwanamke mmoja wa miaka 53 kupatikana umetupwa kwenye mto Ishaviranga baada ya kudaiwa kunajisiwa. Wenyeji wakiongozwa na Ben Luvayi wanasema mwili wa mwendazake ulipatikana na watoto Waliokuwa wakichunga mifugo eneo hilo baada ya kuona …

Mwili wa mwanamke wapatikana mtoni Shinyalu, Kakamega Read More »

Mahakama Kakamega yafungwa kwa madai ya Korona

Mahakama ya Kakamega imefungwa kirasmi jumatatu tarehe17/8/20 Hadi tarehe 31 mwezi huu wa Agosti baada ya wafanyikazi watano akiwemo Afisa mmoja wa ulinzi kupatikana na dalili za virusi vya corona. Hata hivyo baadhi ya mawakili katika mahakama hiyo chini ya wakili Ken Echesa sasa wanataka wateja wao kuwa na subira Hadi vikao vya mahakama hiyo …

Mahakama Kakamega yafungwa kwa madai ya Korona Read More »

Msichana wa Chuo kikuu kuavya mimba na kutupa kijusi kichakani Kakamega.

Maafisa wa polisi mjini Kakamega wanachunguza kisa ambacho mwanafunzi mmoja wa chuo kikuu cha sayansi na teknolojia cha masinde muliro anadaiwa kuavya mimba kabla yakutupa kijusi kwenye kichaka katika Mtaa wa kefinco wadi ya shieywe viungani mwa mji wa Kakamega. Kulingana na walioshuhudia kisa hicho wanadai kuwa msichana huyo aliavya mimba hiyo ya miezi Saba …

Msichana wa Chuo kikuu kuavya mimba na kutupa kijusi kichakani Kakamega. Read More »

Wafanyikazi zaidi ya 500 huenda wakasimamishwa kazi katika kiwanda cha kusaga sukari cha Busia.

kiwanda cha kusaga sukari cha Busia kilichoko wadi ya Busibwabo eneo bunge la Matayos kaunti ya Busia kutangaza kuwa huenda kikawasimamisha kazi zaidi ya wafanyakazi wake 500 kutokana na kiwanda hicho kukosa malighafi au miwa ya kutosha ya kusaga sukari, imekemewa vikali na baadhi ya wakulima wa miwa katika kaunti ya Busia. Wakulima hao wakiongozwa …

Wafanyikazi zaidi ya 500 huenda wakasimamishwa kazi katika kiwanda cha kusaga sukari cha Busia. Read More »

Wauguzi na wahudumu wa afywa wametiwa karantini katika zahanati ya Khamulati, Kimilili.

Jumla ya wauguzi na wahudumu wa afya 22 katika zahanati ya Khamulati eneo bunge la Kimilili wamewekwa karantini ya siku 14 baada yao kutangamana na mgonjwa aliyepatikana na virusi vya Korona na baadaye kufariki dunia kutokana na ugonjwa Covid-19 akitibiwa katika hospitali ya kibinafsi ya Life Care mjini Bungoma. Kwa mujibu wa Mshirikishi wa magonjwa …

Wauguzi na wahudumu wa afywa wametiwa karantini katika zahanati ya Khamulati, Kimilili. Read More »

Robbers broke into St. John the Baptist Likuyani Boys High school in Likuyani Sub County, Kakamega County

A gang of robbers broke into St. John the Baptist Likuyani Boys High School in likuyani sub county, Kakamega County and made away with property worth thousands of shillings. Confirming the incident acting Likuyani location Chief Peter Lugano said the heavily armed gang invaded the school on Tuesday and seriously injured Mr. Nahashon Wakobwa using …

Robbers broke into St. John the Baptist Likuyani Boys High school in Likuyani Sub County, Kakamega County Read More »

“Lazima tuzingatie masharti kama viongozi wa madhehebu”, Asema Askofu Anthony Muheria

Mwenyekiti wa baraza la kidini lililotathmini pendekezo la kufungua makanisa askofu Antony Muheria, ameelezea kuwa Maeneo yote ya kuabudu yatafunguliwa kuanzia Jumanne Juma lijalo. Askofu anasemea muda huu utawapa wakuu wa madhehebu mbalimbali muda wa kuzingatia masharti ya kurejelea ibaada, kama alivyoagiza Rais Uhuru Kenyatta.  Askofu Muheria amewapa changamoto viongozi wote wa dini kuzingatia kikaimilifu …

“Lazima tuzingatie masharti kama viongozi wa madhehebu”, Asema Askofu Anthony Muheria Read More »

RSS
Follow by Email