0202322172

info@lubaofm.co.ke

Uniting Communities

Listen Live

102.2 FM Live

ON AIR

UP NEXT

Local news

“Lazima tuzingatie masharti kama viongozi wa madhehebu”, Asema Askofu Anthony Muheria

Mwenyekiti wa baraza la kidini lililotathmini pendekezo la kufungua makanisa askofu Antony Muheria, ameelezea kuwa Maeneo yote ya kuabudu yatafunguliwa kuanzia Jumanne Juma lijalo. Askofu anasemea muda huu utawapa wakuu wa madhehebu mbalimbali muda wa kuzingatia masharti ya kurejelea ibaada, kama alivyoagiza Rais Uhuru Kenyatta.  Askofu Muheria amewapa changamoto viongozi wote wa dini kuzingatia kikaimilifu …

“Lazima tuzingatie masharti kama viongozi wa madhehebu”, Asema Askofu Anthony Muheria Read More »

Mbunge wa Lugari, Ayub Savula kupeleka mswada bungeni dhidhi ya Viongozi wanaokiuka masharti ya serikali

Mbunge wa Lugari Ayub Savula sasa anasema kuwa atapeleka mswada bungeni kutaka kujua ni kwa nini  waziri wa ugatuzi Eugene Wamalwa na mwenyekiti wa baraza la magavana nchini wycliffe oparanya hawawezi kuchukukuliwa hatua za kisheria kwa kukiuka maagizo ya afya ya kupiga marufuku mikusanyiko ya watu. Akizungumza kwenye hafla ya kupeana chakula cha msaada kwa …

Mbunge wa Lugari, Ayub Savula kupeleka mswada bungeni dhidhi ya Viongozi wanaokiuka masharti ya serikali Read More »

Mauti eneo la Luyeshe kufuatia ajali

Mtu mmoja amefariki papo hapo huku mwingine akijeruhiwa vibaya na kukimbizwa katika hospitali ya malava baada ya baiskeli Waliokuwa wameabiri kugongwa na matatu katika eneo la Luyeshe kwenye barabara kuu ya Kakamega–webuye siku ya jumapili jioni.Inadaiwa kuwa matatu hiyo iliyokuwa ikiendeshwa Kwa Kasi ikielekea Kakamega iliwagonga wawili hao Kwa nyuma kabla ya kutoweka.Hata hivyo wenyeji …

Mauti eneo la Luyeshe kufuatia ajali Read More »

RSS
Follow by Email