0202322172

info@lubaofm.co.ke

Uniting Communities

Listen Live

102.2 FM Live

ON AIR

UP NEXT

National News

Mbunge Washiali amewarai wakaazi wa jamii ya Mulembe kuhakikisha kuwa wanasalia serikalini

Kiranja wa zamani kwenye bunge la kitaifa Ben Washiali amewarai wakaazi wa jamii ya mulembe kuhakikisha kuwa wanasalia serikalini ili kunufaika pakubwa na maendeleo haswa mashinani Akizungumza sokoni Shianda eneobunge la Mumias Mashariki Washiali ametaja ujenzi wa chuo cha matibabu Cha Shianda KMTC kama mojawapo ya matunda ya kufanya kazi na serikali Washiali amechukua fursa …

Mbunge Washiali amewarai wakaazi wa jamii ya Mulembe kuhakikisha kuwa wanasalia serikalini Read More »

ANC Wilayani Navakholo Wameshtumu Chama cha ODM

Baadhi ya wafwasi wa Chama Cha ANC wilayani Navakholo wameshtumu Chama Cha ODM kwa kutumia mbinu ghushi kwenye kampeni za kushinda uchaguzi mdogo wa Matungu Wakiongozwa na Ben Shibona wafwasi hao wamemtahadharisha naibu mwenyekiti wa Chama hicho ambaye pia ni gavana wa Kakamega dhidi ya kulazimisha wakaazi wa Matungu kumchagua mgombea wao ambaye ni David …

ANC Wilayani Navakholo Wameshtumu Chama cha ODM Read More »

Waziri wa elimu Profesa George Magoha kuipongeza shule ya msingi ya Bungoma DEB

Waziri wa elimu Profesa George Magoha, ameipongeza shule ya msingi ya Bungoma DEB kuwa iliyo miongoni mwa shule ambazo zinazingatia kikamilifu masharti ya wizara ya afya kuzuia maambukizi ya Korona nchini. Akizungumza alipozuru shule hiyo, waziri Magoha amesema japo kuwa shule hiyo ni ya pili kwa ukubwa wa idadi ya wanafunzi nchini, imeafikia masharti ya …

Waziri wa elimu Profesa George Magoha kuipongeza shule ya msingi ya Bungoma DEB Read More »

KATIBU MKUU WA ELIMU KUZURU KAUNTI YA UASIN GISHU

Katibu mkuu wa elimu Alfred Cheruiyot leo hii ametembelea kaunti ya Uasin Gishu na ataweza kukagua shule mbali mbali ili kuweza kuangalia changamoto ambayo imekuwa ikiwakumba hasa wanapoendeleza masomo wakizingatia masharti ambayo yaliwekwa na waziri wa wizara ya Elimu George Magoha. Akizungumza na waandishi wa habari katibu mkuu huyo amesema kuwa lengo lao ni kuhakikisha …

KATIBU MKUU WA ELIMU KUZURU KAUNTI YA UASIN GISHU Read More »

Wauguzi wamtaka rais Uhuru Kenyatta kusuluhisha mzozo kati yao na Magavana kuhusu malipo.

Wauguzi wamsihi Rais Uhuru Kenyatta kusuluhisha mzozo katika sekta ya afya. Katibu mkuu wa chama cha kitaifa cha wauguzi, Seth Panyako amesema mazungumzo yaliyonuiwa kumaliza mgomo wa wauguzi wa mwezi mmoja yanapuuziliwa na maafisa wa serikali ya kitaifa na zile za kaunti. Katibu huyo mkuu anasema magavana wamekataa kutia saini mkataba wa makubaliano ya kurejea …

Wauguzi wamtaka rais Uhuru Kenyatta kusuluhisha mzozo kati yao na Magavana kuhusu malipo. Read More »

Chama cha UDA chaweka wagombea wake mbalimbali

Chama cha UDA kimeweka  wagombea wake mbalimbali ambao watagombea vyeo mbalimbali kupitia tiketi ya chama hicho. Katika eneo bunge la Kabuchai, Evans Kaikai ameteuliwa kuipeperushia bendera ya Chama hicho. Katika kata ya Huruma, Kelele Nelson ndiye mgombea na huku Bernard Muia kiala akigombea kama seneta wa kaunti ya Machakos. Katika kikao kilichofanyika hii leo kikiongozwa …

Chama cha UDA chaweka wagombea wake mbalimbali Read More »

Uhaba wa miundo msingi shuleni

Huku wanafunzi wakiendelea kuripoti shuleni baada ya kusalia nyumbani kwa muda mrefu kufwatia kuzuka maambukizi ya virusi vya corona, swala la uhaba wa miundo msingi shuleni limetajwa kama changamoto kuu na lapaswa kushughulikiwa upesi. Akizungumza afisi mwake mwalimu mkuu wa shule ya upili ya wavulana ya teremi eneobunge la kabuchai benard wamanga amesema licha ya …

Uhaba wa miundo msingi shuleni Read More »

Idadi ya maambukizi ya virusi vya corona kufikia 97,733

Watu 335 zaidi waambukizwa ugonjwa wa COVID-19 na kufikisha idadi ya walio ambukizwa kuwa jumla ya 97,733. visa hivyo  vipya vimetokana na sampuli 5,424 zilizopimwa chini ya saa ishirirni na nne Kulingana na taarifa ya Alhamisi wakenya walioambukizwa ni 307 na raia wa kigeni wakiwa 28, wanaume 233 na wanawake 102. visa hinyo ni kati …

Idadi ya maambukizi ya virusi vya corona kufikia 97,733 Read More »

Mwili wa mwanamke wapatikana mtoni Shinyalu, Kakamega

Hali ya majonzi imetanda katika kijiji cha Ishisembe Kata ya Muranda eneo la Shinyalu Kaunti ya Kakamega baada ya mwili wa mwanamke mmoja wa miaka 53 kupatikana umetupwa kwenye mto Ishaviranga baada ya kudaiwa kunajisiwa. Wenyeji wakiongozwa na Ben Luvayi wanasema mwili wa mwendazake ulipatikana na watoto Waliokuwa wakichunga mifugo eneo hilo baada ya kuona …

Mwili wa mwanamke wapatikana mtoni Shinyalu, Kakamega Read More »

RSS
Follow by Email