Msamaria Mwema anahitajika na Mtoto Asubwa

Mama Sulumena Lukuyani aliye na zaidi ya miaka sabini (over 70 Years)kutoka Mtaa wa Ikonyero,Kata ya Kambiri(Lubao), kwenye kaunti ya Kakamega; aliokota mtoto wa takriban wiki moja karibu na nyumbani kwake-baada ya kutupwa takatakani-na kumlea hadi sasa amefikisha miaka miwili. Kijana aliyepewa jina Fredrick Asubwa (Asubwa inamaanisha kutupwa) amekua na gharama ya malisho yake imekuwa changamoto kwa Mshere huyu ambaye ni malaika kwake na baadaye mchanjo wake wa shule atakapofikisha miaka ya kujiunga na shule ya kichechekea.
Asubwa 2 Asubwa 1
KWA HIVYO ANAOMBA MSAMARIA MWEMA YEYOTE ALIYE NA MOYO WA KUSAIDIA HUYU KIONGOZI WA KESHO KIJANA FREDRICK ASUBWA KUJITOKEZA NA KUCHANGIA KIASI CHOCHOTE, NA ITAKUWA WA BARAKA KWAKE SANA. NAMBARI ZA SIMU NI: 0726 485 156 AU 0755 625 178. MUNGU AKUBARIKI KWA MCHANGO WAKO. AMEN

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *