Lubao FM | 102.2 Hz

Month: March 2021

police confirm 45 people died in stadium crush

A crush at a Tanzanian stadium has killed 45 people as mourners paid their last respects to the late President John Magufuli on Sunday, police have said. This is  many times more than the five fatalities initially announced after the disaster on 21 March. Police in the port city of Dar es Salaam, where the tragedy occurred, …

police confirm 45 people died in stadium crush Read More »

Climate change is affecting the Rwenzori Mountains in Uganda

The most visible is the rapid loss of the ice field, which shrunk from 6.5 sq km in 1906 to less than one sq km in 2003, and could completely disappear before the end of this decade, research shows. In 2012, forest fires reached altitudes above 4,000m, which would have been inconceivable in the past, …

Climate change is affecting the Rwenzori Mountains in Uganda Read More »

Britons left without driving license in France

Thousands of British citizens in France have been left without a valid driving licence, or losing theirs within months, because of bureaucratic overload and the failure of the two countries’ governments to sign a post-Brexit reciprocal agreement. British photocard licences must be renewed every 10 years, while drivers turning 70 must also renew their driving …

Britons left without driving license in France Read More »

Wakulima Wapokezwa Pembejeo Bila Malipo Kwenye Kaunti ya Kakamega.

Katika juhudi za kuimarisha utoshelezi wa chakula katika kaunti ya Kakamega, takriban wakulima elfu 24 wenye changamoto za kimapato wameanza kupokezwa pembejeo bila malipo kwa hisani ya serikali ya kaunti hiyo  huku fedha zaidi zikitengwa kuimarisha vyama vya mashirika kwenye kaunti hiyo. Ni shughuli inayolenga akina mama tu wachochole wa kaunti ya Kakamega inaloendeshwa na …

Wakulima Wapokezwa Pembejeo Bila Malipo Kwenye Kaunti ya Kakamega. Read More »

Tetesi za soka msimu huu.

Mshambuliaji wa Tottenham Harry Kane mwenye umri wa miaka 27, atakuwa mlengwa wa Manchester City ikiwa viongozi wa Ligi ya Primia watashindwa kumsajili mchezaji wa Borussia Dortmund Erling Braut Haaland msimu huu. Vile vile Manchester City na Chelsea zote zimembaini mshambuliaji wa Inter Milan Romelu Lukaku, 27, raia wa Ubelgiji kama mchezaji wao mbadala ikiwa zitashindwa …

Tetesi za soka msimu huu. Read More »

Kanisa kuitaka Serikali kutumia mbinu bora za kukabili maambukizi ya corona

Muungano wa makanisa NCCK kanda ya Magharibi unaitaka serikali kutafuta mbinu bora za kukabili maambukizo ya corona pasipo kuyakwamisha maisha ya wakenya Wakiwahutubia wanahabari baada ya mkutano wao mjini Kakamega kupitia kwa naibu mwenyekiti askofu Sinema Bamba wamesema kufunga nchi bila kuwapa wananchi suluhisho la hali ngumu ya maisha hakutazuia msambao huo Viongozi hawa wa …

Kanisa kuitaka Serikali kutumia mbinu bora za kukabili maambukizi ya corona Read More »

Wazazi kuwalinda wanao wakati huu wa likizo kaunti ya Kakamega

Wazazi wametakiwa kuwalinda wanao wakati huu wa likizo ili kuzuia visa vya mimba za mapema na tabia potovu miongoni mwao. Haya ni kwa mjibu wa naibu kamishona wa Navakholo Bunyala Magharibi bi. Moureen Kagwara ambaye amesema kustikika na idadi kubwa ya mimba za mapema miongonimwa wanafunzi wa kike eneo hilo na ametaja umiliki wa mila …

Wazazi kuwalinda wanao wakati huu wa likizo kaunti ya Kakamega Read More »

Jamii ya waislamu Kakamega kuitaka serikali kupitia idara ardhi kuwapa hati miliki ya kipande cha ardhi ambako msikiti mkuu umejegwa

Jamii ya waislamu mjini Kakamega na vyunga vyake sasa inaitaka serikali kupitia kwa idara ya ardhi kuwapa hati miliki ya kipande cha ardhi ambako msikiti mkuu wa Kakamega umejengwa mjini humo. Wakiongea mjini Kakamega baada ya kuchaguliwa kama viongozi wapya wa msikiti wa jamia Kakamega, mwenyekiti mpya Kassim Hassan na kiongozi wa wanawake waislamu Marriam …

Jamii ya waislamu Kakamega kuitaka serikali kupitia idara ardhi kuwapa hati miliki ya kipande cha ardhi ambako msikiti mkuu umejegwa Read More »

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE