Lubao FM | 102.2 Hz

Month: April 2021

Wito kwa viongozi wa kanisa la Church of God misheni ya Bumamu

Wito umetolewa kwa viongozi wageni wa kanisa la Church of God misheni ya Bumamu kuhakikisha wanaliunganisha kanisa hilo ili kuliendeleza mbele  Wakizungumza baada ya hafla ya kuwachagua viongozi wapya 5 wa kanisa hilo kiwango cha misheni iliyofanyika katika kanisa la Mushieywe lililoko wadi ya Marama Kaskazini eneo bunge la Butere waumini na baadhi ya wahubiri …

Wito kwa viongozi wa kanisa la Church of God misheni ya Bumamu Read More »

Wakaazi mtaa wa Shikhambi kaunti ya Kakamega kuibiwa kwa njia tatanishi nyakati za usiku

KWakazi wa mtaa wa Shikhambi viungani mwa mji wa Kakamega kwa mara nyingine wanaitaka idara ya usalama mjini Kakamega kuingilia kati na kukabili visa vya wizi na uhalifu kwa jumla vinavyoendelea kuwakumba. Wakazi wamelalamikia mbinu mpya inayotumiwa na wezi ambao kwa njia moja au nyingine huweza kuingia katika nyumba za wakazi na kuwaibia mali ya …

Wakaazi mtaa wa Shikhambi kaunti ya Kakamega kuibiwa kwa njia tatanishi nyakati za usiku Read More »

Mimba za mapema eneobunge la Khwisero kaunti ya Kakamega

Wazazi katika eneo la khwisero wametakiwa kuwajibikia majukumu yao ya malezi ili kuepuka visa vya mimba za mapema vinavyoshuhudiwa hasa miongoni mwa wanafunzi Akiongea kwenye kikao cha kuwahamasisha viongozi wa mashinani swala la mimba za mapema na uavyaji mimba pasipo kufuata sheria, chifu wa kata ya kisa kaskazini Hellen Watulo amesema wazazi wengi wameacha majukumu …

Mimba za mapema eneobunge la Khwisero kaunti ya Kakamega Read More »

Beki wa Guinea Ali Camara kuzivutia klabu kadhaa za Ligi ya Primia

Manchester City waliwachabanga Tottenham bao moja kwa yai na kulitwaa kombe la EFL Karabao Ugani Wembley Huku Chelsea wapo mbele ya Manchester United na Paris St-Germain katika mbio za kutaka kumsajili beki wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ufaransa Raphael Varane mwenye umri 28. Hayo yakijiri Beki wa Guinea Ali Camara mwenye umri wa miaka  23, …

Beki wa Guinea Ali Camara kuzivutia klabu kadhaa za Ligi ya Primia Read More »

Himizo kwa wenyeji wa kaunti ya Kakamega kuzingatia masharti ya corona

Siku moja baada ya waombelezaji kuzua vurugu kwenye hafla ya mazishi katika kijiji cha Shitirira wadi ya Butsotso Mashariki eneo bunge la Lurambi kaunti ya Kakamega wakimsuta naibu chifu wa sehemu hiyo Alex Mutende kushinikiza mwili wa marehemu Dauglas Kwatera aliyekuwa mhudumu wa bodaboda na kufariki kwenye ajali ya barabara kuzikwa mapema kufwatia agizo la …

Himizo kwa wenyeji wa kaunti ya Kakamega kuzingatia masharti ya corona Read More »

Akinamama kuwataka Viongozi kuzingatia jamii ya walemavu kaunti ya Kakamega

Akina mama wa chama cha ANC eneo bunge la Lurambi wamewataka viongozi kuzingatia jamii ya walemavu na kuona kwamba wanainuliwa kiuchumi Wakiongozwa na mwenyekiti Ruth Ombayo walipomtembelea mama Violet Anangwe katika kijiji cha Emayungu ambaye anawakilisha walemavu katika wadi ya Butsotso ya kati wamesema ni njia moja ya kuhamasisha wananchi mashinani umhimu wa kumuunga mkono …

Akinamama kuwataka Viongozi kuzingatia jamii ya walemavu kaunti ya Kakamega Read More »

Akina mama kujitokeza katika ulingo wa kisiasa

Mwakilishi wa wadi ya Busali kaunti ya Vihiga Bi. Gladys Analo, amewahimiza akina mama kujitokeza kwa wingi Katika ulingo wa siasa ili kuwania nyadhifa tofauti tofauti kama njia moja wapo ya kujikuza Kisiasa. Mwakilishi huyo wa wadi ameyasema haya alipohudhuria ibaada ya kanisa Katika kanisa katoliki la  Mtakatifu Ursula Chamakanga alipoalikwa kama mgeni mashuhuri katika …

Akina mama kujitokeza katika ulingo wa kisiasa Read More »

Wanannchi kufanya uamuzi wa busara wakati wa uchaguzi

Mbunge wa Sirisia John Koyi Waluke amewataka wakaazi wa eneo hilo kumuunga mkono kwa kufanya kazi kwa karibu naye kama njia pekee itakayomwezesha  kufanikisha ajenda ya maendeleo. Akihutubu kwenye hafla ya mazishi eneo la Nabini wadi ya Lwandanyi eneobunge la Sirisia Waluke amehoji kuwa ushirikiano bora utamwezesha kutimiza ahadi mbalimbali kwa mwananchi huku akisisitiza umuhimu …

Wanannchi kufanya uamuzi wa busara wakati wa uchaguzi Read More »

Unyakuzi wa ardhi kaunti ya Kakamega

Waziri wa ardhi  miundo misingi na mali asili katika kaunti ya Kamamega Robert Kundu Makhanu ametoa ilani kali kwa wakazi ambao wamenyakuwa vipande vya ardhi vya serikali katika kaunti hiyo  kuvirejesha kwa hiyari pasi na kishinikizwa na serikali. Akizungumza baada ya kurejesha shamba hekari kumi ambalo lilikuwa limenyakuliwa na wakazi katika kidimbwi cha kimani mtaa  …

Unyakuzi wa ardhi kaunti ya Kakamega Read More »

Ardhi ya Msitu wa Turbo kutwaa kwa shughuli za kilimo

Takribani maskwota 1,500 kutoka kaunti ndogo za Lugari na Likuyani ambao ni wahasiriwa wa vita vya kikabila mwaka 1992 wameunga mkono hatua ya mbunge wa Likuyani daktari Enoch Kibunguchy kupinga mipango ya mamlaka ya mazingira nchini NEMA kwa ushirikiano na serikali ya kaunti ya Kakamega kutaka kutwaa zaidi ya hekari 460 za ardhi kwenyei msitu wa Turbo …

Ardhi ya Msitu wa Turbo kutwaa kwa shughuli za kilimo Read More »

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE