Utata wa vyeo kwa waalimu kaunti ya Bungoma
Ni sharti tume ya kuajiri waalimu inchni kuharakisha kuwapandisha vyeo waalimu walio hitimu kufanyiwa hivyo. Akizungumza katika eneo bunge la Bumula kaunti ya Bungoma, mwenyekiti wa chama cha kutetea masilahi ya walimu wa shule za msingi Bungoma Mashariki Agrey Namis,i amesema kuwa tume ya kuajiri waalimu huchukua muda mrefu kupandisha walimu walio hitimu katika viwango …