MSURURU WA RAGA NCHINI AWAMU YA CHRISTIES
Mabingwa watetezi katika msururu wa raga nchini KCB RFC wanawania kuibuka mababe katika awamu ya raga ya wachezaji saba kila upande ya CHRISTIES. KCB wako katika kundi A pamoja na wenyeji Kenya Harlequins, Top Fry Nakuru na Jumia Pay Pirates ambao wanashiriki kwa mara ya kwanza katika mashindano haya. Chuo kikuu cha Strathmore ambao walitinga …