Wakaazi Wa Mlima Elgon Watoa Onyo Kwa Gavana Natembeya
Wakaazi wa mlima elgon wametoa makataa ya siku saba kwa gavana wa kaunti ya Trans Nzoia George Natembeya kuwaomba msamaha kwa matamshi yake kuwa hawawezi pata kaunti yao kutokana na uchache wao. Kulingana nao, siku saba zikitamatika kabla ya kupokea ridhaa kutoka kwa Gavana Natembeya wataandamana hadi makao makuu ya gavana huyo mjini kitale Wakaazi …
Wakaazi Wa Mlima Elgon Watoa Onyo Kwa Gavana Natembeya Read More »