Mwakilishi wa wadi ya Busali kaunti ya Vihiga Bi. Gladys Analo, amewahimiza akina mama kujitokeza kwa wingi Katika ulingo wa siasa ili kuwania nyadhifa tofauti tofauti kama njia moja wapo ya kujikuza Kisiasa.

Mwakilishi huyo wa wadi ameyasema haya alipohudhuria ibaada ya kanisa Katika kanisa katoliki la  Mtakatifu Ursula Chamakanga alipoalikwa kama mgeni mashuhuri katika kuchangisha pesa za kuinua azina ya akina Mama kanisani humo.

Hata hivyo, amewasuta viongozi ambao wameshaanza kumezea mate kiti hicho akisema kwamba, muda wa siasa utafika ila kwa sasa wampe nafasi ya kukamilisha hatamu yake ya uongozi.

By Joseph Alovi

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE