LUBAO FREQUENCY MODULATION LIMITED

Uniting Communities
  1. Listen to Lubao FM Live 102.2 FM

Live now:

Up next:

  1. Home
  2. Author Blogs

Author: Charles Oduor

Charles Oduor

GAVANA OPARANYA ATANGAZA KUWAFUTA KAZI WAHUDUMU WA AFYA WALIO MGOMONI KAUNTI YA KAKAMEGA

GAVANA OPARANYA ATANGAZA KUWAFUTA KAZI WAHUDUMU WA AFYA WALIO MGOMONI KAUNTI YA KAKAMEGA

Serikali ya kaunti ya Kakamega imetangaza kuwafuta kazi wahudumu wake wa afya wanaoshiriki mgomo na kuajiri wahudumu wengine wapya kuanzia juma lijalo. Akizungumza katika eneo bunge la malava gavana wa kaunti hiyo Wycliffe Oparanya amewasuta…

Read More
AFUENI KWA WANAFUNZI KUTOKA WADI YA BUTALI CHEGULO KAUNTI YA KAKAMEGA KUJIUNGA NA TTI

AFUENI KWA WANAFUNZI KUTOKA WADI YA BUTALI CHEGULO KAUNTI YA KAKAMEGA KUJIUNGA NA TTI

Huku shughuli za masomo zikiingia juma la pili katika taasisi zote za elimu nchini zaidi ya vijana 40 wamepata fursa ya kujiunga na chuo cha kiufundi cha Shamberere kupitia kwa afisi ya mwakilishi wa wadi…

Read More
Mtoto ameanguka katika ndoo ya Maji na kufariki katika kata ya Butali eneo bunge la Malava

Mtoto ameanguka katika ndoo ya Maji na kufariki katika kata ya Butali eneo bunge la Malava

Biwi la simanzi limetanda katika kijiji cha Muyundi kata ya Butali eneobunge la Malava baada ya mtoto mwenye umri wa miaka 2 kuanguka katika ndoo ya maji na kufariki kabla hajafikishwa hosipitalini. Kulingana na mamake…

Read More
Gavana wa Kakamega Wycliffe Oparanya kuongoza kampeni za mgombea wa chama cha ODM katika uchaguzi mdogo wa eneo bunge la Matungu

Gavana wa Kakamega Wycliffe Oparanya kuongoza kampeni za mgombea wa chama cha ODM katika uchaguzi mdogo wa eneo bunge la Matungu

Gavana wa kaunti ya Kakamega Wycliffe Oparanya, amesema ataongoza kampeni za mgombea wa chama cha ODM katika uchaguzi mdogo wa eneo bunge la Matungu utakaoandaliwa mwezi wa  machi tarehe  nne mwaka huu Akizungumza mjini mumias…

Read More
Mwanaume amefariki chumbani malava kaunti ya Kakamega

Mwanaume amefariki chumbani malava kaunti ya Kakamega

Mwanamme mwenye umri wa miaka 38 amepatikana ndani ya chumba chake akiwa amefariki huku mwili wake ukiwa na alama ya visu katika kijiji cha teresia eneo bunge la malava kaunti ya kakamega.    Kulingana na esther…

Read More
154 recoveries from Corona virus Kenya

154 recoveries from Corona virus Kenya

In a statement to media houses, the Ministry of Health said the new cases were from 3,369 samples.  The total number of confirmed Coronavirus cases in the country has hit 98,432 after 98 new infections…

Read More
Mwanafunzi wa shule ya msingi amejitia kitanzi eneo bunge la Navakholo kaunti ya Kakamega

Mwanafunzi wa shule ya msingi amejitia kitanzi eneo bunge la Navakholo kaunti ya Kakamega

Familia moja katika kijiji cha mukama kata ndogo ya kochwa eneo bunge la navakholo inaomboleza kifo cha mwanao mwenye umri wa miaka 19 mwanafunzi wa darasa la saba katika shule ya msingi ya Mukama baada…

Read More
Wakaazi wa lubao wanashauriwa kuwaelimisha watoto wao

Wakaazi wa lubao wanashauriwa kuwaelimisha watoto wao

Wakaazi wa lubao wanashauriwa na viongozi wao wa usalama kuhakikisha kwamba hawabaki nyuma kuwaelimisha watoto wao kwa kuwapeleka shuleni. Wakizungumza katika ibaada ya mazishi ya mwenda zake aliyekuwa fundi shupavu mzee joel tieni imonje katika…

Read More
Dirisha ya uhamisho mwezi January

Dirisha ya uhamisho mwezi January

Napoli wameamua kumfanya mlinzi wa Arsenal Mskochi Kieran Tierney lengo lao la muda mrefu baada ya kumkosa nyota huyo aliye na umri wa miaka 23 mwanzo wa msimu huu. Hayo yakijiri klabu ya Manchester United…

Read More
Raia wakabiliana na polisi Malinya Ikolomani Kakamega

Raia wakabiliana na polisi Malinya Ikolomani Kakamega

Kizaa zaa kimeshuhudiwa hii Leo baina ya polisi na raia kwenye uwanja wa malinya kwenye eneobunge la ikolomani kaunti ya kakamega baada ya polisi kuwazuia wenyeji kuandaa pigano la fahali,. Ni tukio ambalo polisi wamejipata…

Read More