LUBAO FREQUENCY MODULATION LIMITED

Uniting Communities
  1. Listen to Lubao FM Live 102.2 FM

Live now:

Up next:

  1. Home
  2. Author Blogs

Author: Charles Oduor

Charles Oduor

Wazee katika eneo la Khwisero kuleta Amani miongoni mwa wanasiasi katika eneo hilo ili kuwepo na maendeleo

Wazee katika eneo la Khwisero kuleta Amani miongoni mwa wanasiasi katika eneo hilo ili kuwepo na maendeleo

 Baraza la wazee kaunti ndogo ya Khwisero kaunti ya Kakamega wamezindua mchakato wa kuwaleta pamoja wawakilishi wadi na mbunge Christopher Aseka wakisema tofauti miongoni mwa viongozi hao zimekwamisha maendeleo  Wakiongozwa na mwenyekiti … wamesema hawaridhishwi…

Read More
Wakaazi wa kaunti ya Kakamega wateta kutokana na serikali ya kaunti kukosa kutekeleza miradi muhimu licha ya kutengewa fedha kila mwaka wa bajeti 12

Wakaazi wa kaunti ya Kakamega wateta kutokana na serikali ya kaunti kukosa kutekeleza miradi muhimu licha ya kutengewa fedha kila mwaka wa bajeti 12

Wakaazi wa kaunti ya Kakamega wateta kutokana na serikali ya kaunti kukosa kutekeleza miradi muhimu licha ya kutengewa fedha kila mwaka wa bajeti 12 Serikali ya kaunti ya Kakamega imetakiwa kuyapa maswala ya maji, uboreshaji…

Read More
Wizara ya kilimo kaunti ya Bungoma Kuweka mikakati ya kufufua kilimo cha pamba

Wizara ya kilimo kaunti ya Bungoma Kuweka mikakati ya kufufua kilimo cha pamba

Wito umetolewa kwa wizara ya kilimo katika serikali ya kaunti ya Bungoma kuweka mikakati itakayowasaidia wakulima kufufua kilimo cha pamba ili waweze kunufaika na kiwanda kipya kilichojengwa katika eneo la Malakisi eneobunge la Sirisia. Akizungumza…

Read More
Chanjo ya Corona kuzinduliwa kaunti ya Kakamega huku waziri wa afya Collins Matemba akiwa wa kwanza kudungwa chanjo hiyo

Chanjo ya Corona kuzinduliwa kaunti ya Kakamega huku waziri wa afya Collins Matemba akiwa wa kwanza kudungwa chanjo hiyo

Kaunti ya Kakamega imezidua chanjo ya korona hivi leo huku waziri wa afya katika kaunti hiyo Collins Matemba akiwa wa kwanza kudungwa chanjo hiyo. Kaunti ya Kakamega imepokea  dosi 12,000  kwa jumla ya dosi 27,640…

Read More
Viongozi wa KNUT Kakamega waapa kupigania maslahi ya walimu licha ya changamoto

Viongozi wa KNUT Kakamega waapa kupigania maslahi ya walimu licha ya changamoto

Chama cha kutetea masilahi ya walimu nchini KNUT kaunti ya Kakamega chafanya uchanguzi huku aliyekuwa mwenyekiti na katibu mkuu Patrick Chungani na Argadious Liyayi kwa mtawalia wakichaguliwa tena  Wakizungumza baada ya kuchaguliwa afisi hiyo ya…

Read More
Mwili wa mwanaume aliyeaga miezi kumi na nane iliyopita umezuiliwa kuzikwa katika shamba lake katika eneo bunge la Ikolomani kaunti ya Kakamega

Mwili wa mwanaume aliyeaga miezi kumi na nane iliyopita umezuiliwa kuzikwa katika shamba lake katika eneo bunge la Ikolomani kaunti ya Kakamega

Huenda jamaa ya mzee aliyeaga katika eneo bunge la Ikolomani miezi kumi na nane iliyopita na kuzuiliwa kuzikwa kwa kipande alichonunua yapata miaka 45 iliyopita kwa kutokamilisha malipo wakaendelea kumuombolelezea kwenye chumba cha wafu Mukumu…

Read More
habari za michezo Uingereza

habari za michezo Uingereza

TIMU za Ajax, AS Roma na Villarreal ni miongoni mwa vikosi vilivyojiweka pazuri zaidi kufuzu kwa robo-fainali za Europa League msimu huu wa 2020-21 baada ya kubwaga wapinzani wao kwenye mechi za mkondo wa kwanza…

Read More
Walimu wakuu wametakiwa kuridhika na fedha za Basari ambazo zimepeanwa kwa shule na kuwaruhusu wanafunzi kuendelea na masomo yao bila kutumwa nyumbani

Walimu wakuu wametakiwa kuridhika na fedha za Basari ambazo zimepeanwa kwa shule na kuwaruhusu wanafunzi kuendelea na masomo yao bila kutumwa nyumbani

Mwakilishi wadi ya Marama Magharibi eneo bunge la Butere kaunti ya Kakamega Boaz Milton Omukunde maarufu kama Saitama amewataka wakuu wa shule kuridhika na fedha za basari ambazo zimepeanwa kwa shule na kuwarusu wanafunzi kuendelea…

Read More
Kanisa kaunti ya Kakamega Halikubaliani kwa vyovyote vile na ghasia haswa Eneo bunge la Matungu na kuwataka viongozi kuwajibika

Kanisa kaunti ya Kakamega Halikubaliani kwa vyovyote vile na ghasia haswa Eneo bunge la Matungu na kuwataka viongozi kuwajibika

Kwenye kikao na wanahabari ofisini mwake Askofu wa kanisa hilo Joseph Wandera amesema kuwa kama kanisa  hawakubaliani kwa vyovyote vile na ghasia haswa za Matungu na kuwataka vyongozi kuwajibika Wandera aidha ametaka adhabu kali kutolewa…

Read More
Habari za Michezo