LUBAO FREQUENCY MODULATION LIMITED

Uniting Communities
  1. Listen to Lubao FM Live 102.2 FM

Live now:

Up next:

  1. Home
  2. Author Blogs

Author: Charles Oduor

Charles Oduor

Uchaguzi Sokoni Shinyalu

Uchaguzi Sokoni Shinyalu

Wafanya biashara wa soko la shinyalu lililo katika wadi ya isukha ya kati eneo bunge la shinyalu kaunti ya kakamega , wameshiriki kwenye uchaguzi wa viongozi wa soko hilo ijuma ya leo Uchaguzi huo umefanyika…

Read More
Madereva wa trela wahangaishwa na KENHA mjini Eldoret

Madereva wa trela wahangaishwa na KENHA mjini Eldoret

Madereva wa lori kutoka mjini Eldoret wanakadiria hasara baada ya kuhaingaishwa na maafisa wa polisi wa KENHA licha ya kutimiza masharti ya uchukuzi. Akizungumza na wanahabari Joel Mugo akiwa miongoni mwa madereva ambao wanalalamika amesema…

Read More
Wauguzi wamtaka rais Uhuru Kenyatta kusuluhisha mzozo kati yao na Magavana kuhusu malipo.

Wauguzi wamtaka rais Uhuru Kenyatta kusuluhisha mzozo kati yao na Magavana kuhusu malipo.

Wauguzi wamsihi Rais Uhuru Kenyatta kusuluhisha mzozo katika sekta ya afya. Katibu mkuu wa chama cha kitaifa cha wauguzi, Seth Panyako amesema mazungumzo yaliyonuiwa kumaliza mgomo wa wauguzi wa mwezi mmoja yanapuuziliwa na maafisa wa…

Read More
YOUTH CATHOLIC DIOCESE OF KAKAMEGA

YOUTH CATHOLIC DIOCESE OF KAKAMEGA

The youths are, and will remain a significant share of Kenyans population for the foreseeable future. Developing and implementing appropriate strategies policies and programmes helps in mitigating the opportunities and empowering the youths on their up-bringing efforts…

Read More
THE BOY CHILD

THE BOY CHILD

Kenyans have created a very difficult environment for the boy child to grow and develop in. As a country we must recognize that ensuring gender equality requires that policies and administrative action deal with challenges…

Read More
Chama cha UDA chaweka wagombea wake mbalimbali

Chama cha UDA chaweka wagombea wake mbalimbali

Chama cha UDA kimeweka  wagombea wake mbalimbali ambao watagombea vyeo mbalimbali kupitia tiketi ya chama hicho. Katika eneo bunge la Kabuchai, Evans Kaikai ameteuliwa kuipeperushia bendera ya Chama hicho. Katika kata ya Huruma, Kelele Nelson…

Read More
Msichana wa umri mdogo kapachikwa mimba na kaasisi kaunti ya Siaya.

Msichana wa umri mdogo kapachikwa mimba na kaasisi kaunti ya Siaya.

msichana wa umri mdogo aliyekuwa chini ya utunzi wa kaasisi mmoja wa Kanisa la Legio Maria, sasa familia yake inataka kaasisi huyo kukamatwa kwa maadai ya kampachika mimba katika kijiji cha komenya kaunti ya Siaya.…

Read More
UMOJA WA ULAYA YAAGIZA DOZI MILLIONI TATU ZAIDI YA CHANJO ALMAARUFU BioNTechPfizer.

UMOJA WA ULAYA YAAGIZA DOZI MILLIONI TATU ZAIDI YA CHANJO ALMAARUFU BioNTechPfizer.

Muungano wa umoja wa ulaya umefikia maafikiano kuagiza dozi zaidi ya chanjo hii ili kuongeza maradufu kiasi cha chanjo wanayomiliki. Mwenyekiti wa tume ya ulaya Ursula Von der leyen ijumaa ameelezea kuwa wamenunua dozi milioni…

Read More
Mwanaume kuwabaka bimti zake wawili

Mwanaume kuwabaka bimti zake wawili

Katika kaunti ya Kirinyagah mwanaume ambaye aliwabaka bintize atajua hatima yake ijayo baada ya hakimu mkuu wa Baricho hakimu Anthony Mwicigi kuagiza ofisi ya urekebishaji tabia kuchunguza kisa hicho kwa kina. Mmoja wa bintize  ana…

Read More
KUCO kutishia kuandaa mgomo

KUCO kutishia kuandaa mgomo

Chama cha kitaifa cha matabibu KUCO. chatishia kuandaa mgomo wa kitaifa alhamisi usiku wa manane. Hatua hiyo inafuatia kukamilika kwa muda wa makataa uliopewa magavana kutia saini na kuanza kutekeleza utaratibu wa kurejea kazini uliotiwa…

Read More