LUBAO FREQUENCY MODULATION LIMITED

Uniting Communities
  1. Listen to Lubao FM Live 102.2 FM

Live now:

Up next:

  1. Home
  2. Author Blogs

Author: Charles Oduor

Charles Oduor

Wazazi wanashauriwa kutunza wanao katika kaunti ya Kakamega

Wazazi wanashauriwa kutunza wanao katika kaunti ya Kakamega

Seneta mteule katika kaunti ya Kakamega Naomi Shiyonga amewataka wazazi kuwalinda vyema wanao wanapo rejea nyumbani katika likizo ili wasijihusishe na visa vya utovu wa nidhamu miongoni mwao Akiwahutubia waombolezaji kwenye hafla ya mazishi katika…

Read More
Mama Mmoja Kakamega Adhimisha Siku Ya Wanawake Duniani Kwa Kuzaa Mapacha Watatu

Mama Mmoja Kakamega Adhimisha Siku Ya Wanawake Duniani Kwa Kuzaa Mapacha Watatu

Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya wanawake duniani , mwanamke mmoja wa miaka 30 katika mtaa wa Amalemba wadi ya Shirere viungani mwa mji wa Kakamega anasherehekea siku hiyo kwa kuzaa mapacha watatu japo anahitaji wahisani…

Read More
Migomo ya secta mbalimbali humu nnchini miongoni mwa wafanyikazi huenda ndio inasababisha migomo ya wanafunzi katika shule tofauti humu nnchini

Migomo ya secta mbalimbali humu nnchini miongoni mwa wafanyikazi huenda ndio inasababisha migomo ya wanafunzi katika shule tofauti humu nnchini

Migomo ya mara kwa mara miongoni mwa wafanyikazi wa sekta mbali mbali humu nchini ndio sababisho la migomo  inayoshuhudiwa miongoni mwa wanafunzi, Ni usemi wa padre wa parokia ya kanduyi kaunti ya Bungoma Dominic Osianji…

Read More
Vijana Eneobungbie Mumias Maghara

Vijana Eneobungbie Mumias Maghara

Vijana katika eneo bunge la Mumias Magharibi wakiongozwa na Geofrey Makokha wamemtaka kinara wa ANC Musalia Mudavadi na mwenzake wa Ford Kenya Moses Wetangula kuwahusisha vijana katika safari yao ya kutafuta uongozi wa taifa hili…

Read More
Wanachama wa ODM kuhimizwa kueneza siasa ya Amani

Wanachama wa ODM kuhimizwa kueneza siasa ya Amani

Wanachama wa ODM wamehimizwa na mbunge wa eneo la Soy Caleb Kositany kueneza siasa ya amani. Akizungumza baada ya kuzindua mipango kabambe ya kanisa ya AİC mjini Eldoret amesisitiza kuwa wanachama hao wanafaa kufanya ushauri…

Read More
Cristiano Ronaldo aandikisha Historia kwa muchuano wake wa 600 wa ligi

Cristiano Ronaldo aandikisha Historia kwa muchuano wake wa 600 wa ligi

Cristiano Ronaldo aliandikisha historia kwa mchuano wake wa 600 wa ligi kwa kufunga bao la 20 katika Serie A msimu huu walipoishinda Spezia mabao matatu kwa nunge Mabao yote matatu yalifungwa katika kipindi cha pili…

Read More
Uchaguzi Mdogo wa wadi ya Huruma kaunti ya Uasin Gishu

Uchaguzi Mdogo wa wadi ya Huruma kaunti ya Uasin Gishu

Hatimaye mshindi wa uchaguzi mdogo wa kutoka wadi ya Huruma kaunti ya Uasin Gishu Lucy Ng’endo Chomba ametawazwa mshindi na tikiti ya chama cha Jubilee. Kinyang’anyiro hicho kilikuwa na upinzani mkali kwani Lucy Chomba alipata…

Read More
Wananchi wanashauriwa kuzingatia maswala na usafi wa vyakula wanapokuwa katika ibada za mazishi

Wananchi wanashauriwa kuzingatia maswala na usafi wa vyakula wanapokuwa katika ibada za mazishi

Wananchi wanashauriwa kuzingatia maswala na usafi wa vyakula wanapokuwa katika ibaada za mazishi. Akiwahutubia waombolezaji katika ibaada ya mazishi ya mwenda zake James Wendo katika kijiji cha Lukusi-B kata ndogo ya Lukusi iliyo katika wadi…

Read More
Mwanaume Ala Uroda Na Mwanawe Wa Miaka12 Malava

Mwanaume Ala Uroda Na Mwanawe Wa Miaka12 Malava

Mwanaume mwenye umri wa makamo kwa majina Jullius Omboko kutoka kijiji cha Matsakha eneobunge la Malava kaunti ya Kakamega anasakwa na maafisa wa polisi baada ya kudaiwa kushiriki tendo la ndoa na mwanawe mwenye umri…

Read More
Ukulima kuimarishwa mkoa wa Bonde la Ufa

Ukulima kuimarishwa mkoa wa Bonde la Ufa

Muungano wa kiuchumi Kaskazini mwa Bonde la Ufa ikishirikiana na kiwanda cha ( Fresh Produce Consortium of Kenya) itaanza rasmi kilimo cha maua kwa kuuza bidha zao nchi za nje kuanzia wiki ya kwanza ya…

Read More