LUBAO FREQUENCY MODULATION LIMITED

Uniting Communities
  1. Listen to Lubao FM Live 102.2 FM

Live now:

Up next:

  1. Home
  2. Author Blogs

Author: Charles Oduor

Charles Oduor

Wakulima wa miwa Ikolomani Kulalama

Wakulima wa miwa Ikolomani Kulalama

Wakulima wa zao la miwa katika maeneo ya Mutaho wadi ya Idakho Kaskazini eneo bunge la Ikolomani kaunti ya Kakamega, wanaitisha usaidizi kutokana na zao hilo maeneo hayo. Akiongea kwa niaba ya wakulima wenzake, George…

Read More
Wanannchi kufunzwa BBI kabla ya kura ya maamuzi

Wanannchi kufunzwa BBI kabla ya kura ya maamuzi

Mwakilishiwadi wa Marama Central gatuzi dogo la Butere Ondako Maina amesema kuwa sharti wakaazi wapewe mafunzo ya kutosha kuhusu BBI kabla ya kuandaliwa kwa kura ya maoni Kwenye kikao na wanahabari Ondako hata hivyo  amehoji…

Read More
Wanachama wa Umbrella ya Lubaofm kuhudhuria mazishi ya mmoja wao Ikolomani

Wanachama wa Umbrella ya Lubaofm kuhudhuria mazishi ya mmoja wao Ikolomani

Mwenyekiti wa  umbrella ya lubaofm Nelson Andanje amewahimiza wanachama kuzidi kushirikiana Kwa pamoja Kwa matoleo Kwa ajili yakusimama na wale ambao wamepoteza wapendwa wao . Andanje amesema haya kwenye mazishi ya Zipporah Mukoshi mamake Ethna…

Read More
Wakazi wa Shinyalu kuchukulia mzaha Baraza

Wakazi wa Shinyalu kuchukulia mzaha Baraza

Wakaazi wa kijiji cha imakuchi katika lokesheni ndogo ya Ivakale Lokesheni ya kambiri eneo bunge la Shinyalu, wanaombwa Kutochukulia mzaha agizo la kufika kwenye baraza. Akiongea na kituo hiki baada ya wakaazi hao kutofika katika…

Read More
Jumatano ya Majivu

Jumatano ya Majivu

Jumatano ya Majivu katika kalenda ya mwaka wa kanisa katoliki ni siku ya kwanza ya kwaresma lakini katika litrujia ya Milano kwaresma inaanza jumapili inayofuata hivyo majivu kupakwa siku hiyo na sio siku ya Jumatano.…

Read More
Kakamega Chamber host Pakistan Embassy

Kakamega Chamber host Pakistan Embassy

Kakamega Chamber played host to the Consular from the Pakistan Embassy today. Many areas of mutual engagements were discussed including linking local Exporters to the Pakistani market, local importers to Exporters from Pakistan and the…

Read More
Watoto saba wateseka mjini Busia

Watoto saba wateseka mjini Busia

Jumla ya watoto saba mayatima wenye umri wa kati ya miaka 11 na 18 kutoka mjini Nambale Kaunti ya Busia wanaishi maisha ya mahangaiko baada ya mama mzazi kuwatoroka zaidi ya miaka miwili iliyopita. Watoto…

Read More
Wazazi wa shule ya msingi Mutoto

Wazazi wa shule ya msingi Mutoto

 Wazazi wa shule ya Mutoto ilioko eneobunge la Malava kaunti ya Kakamega wanaiomba serikali kuingilia kati na kuwasaidia kutokana na makali ya sheria za shule hiyo wakidai kuwa wamelazimishwa kuchimba vyoo vya shule na kutishiwa…

Read More
Usafi sokoni kaunti ya Kakamega

Usafi sokoni kaunti ya Kakamega

Wafanyi  biashara  wa  soko  la  Kambi-Mwanza  lililo  katika  kaunti  ndogo  ya  Malava  kaunti  ya  Kakamega,  wanalilia  hali  ya  soko  hilo  kuwa  hairidhishi  kwa  upande  wa  usafi. Wakiongea  kupitia  kwa  mwenyekiti  wao  kina  mama  wanaouza  samaki …

Read More
Mzee achomwa nyumbani kwake Navakholo

Mzee achomwa nyumbani kwake Navakholo

Hali ya taharuki imetanda katika kijiji cha Budonga wadi ya Bunyala Magharibi eneo bunge la Navakholo baada ya mzee mwenye umri  wa miaka 70 kuteketezwa kwa nyumba yake na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo…

Read More