Mwanafunzi kufariki kwa hali tatanishi.
Mbiu la manjonzi limetanda katika shule ya upili ya Arnesense baada ya mwanafunzi wa kidato Cha kwanza kufariki katika mazingira tata. Wakaazi kutoka eneo la Burnt Forest wamesema kuwa mwanafunzi huyo anadaiwa kufariki na homa ya korona. Maisha ya wakazi hao yamo hatarini baada ya shule hiyo kufungwa kabla ya kupima dhidi ya Ugonjwa huo …