Chama cha UDA chaweka wagombea wake mbalimbali
Chama cha UDA kimeweka wagombea wake mbalimbali ambao watagombea vyeo mbalimbali kupitia tiketi ya chama hicho. Katika eneo bunge la Kabuchai, Evans Kaikai ameteuliwa kuipeperushia bendera ya Chama hicho. Katika kata ya Huruma, Kelele Nelson ndiye mgombea na huku Bernard Muia kiala akigombea kama seneta wa kaunti ya Machakos. Katika kikao kilichofanyika hii leo kikiongozwa …