Mauti eneo la Luyeshe kufuatia ajali
Mtu mmoja amefariki papo hapo huku mwingine akijeruhiwa vibaya na kukimbizwa katika hospitali ya malava baada ya baiskeli Waliokuwa wameabiri kugongwa na matatu katika eneo la Luyeshe kwenye barabara kuu ya Kakamega–webuye siku ya jumapili jioni.Inadaiwa kuwa matatu hiyo iliyokuwa ikiendeshwa Kwa Kasi ikielekea Kakamega iliwagonga wawili hao Kwa nyuma kabla ya kutoweka.Hata hivyo wenyeji …