MATHARE UNITED YAPIGWA JEKI KWA SAJILI MPYA JUMAMOSI 05/01/2019

Viongozi wa Ligi Kuu Kenya Mathare United Wamepigwa Jeki kwa Kumsajili mchezaji Klinsman Omulanga kwa mkataba wa kudumu wa miaka miwili. Omulanga amekuwa akichezea klabu ya Mathare United kutoka klabu ya Liberty Academy kwa mkopo kabla ya kuvutia klabu hiyo ya Mathare United.Klabu ya Mathare United itawakaribisha mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Kenya Gor […]

Continue reading


KENYA PREMIER LEAGUE 05/01/2019 AND 06/01/2019 FIXTURES EAT TIME

SATURDAY 05/01/2019 SOFAPAKA VS TUSKER 3.00PM SUNDAY 06/01/2019 VIHIGA UTD VS MOUNT KENYA UNITED 1.00PM K.C.B VSKARIOBANGI SHARKS 2.00PM BANDARI VS SONY SUGAR 3.00PM CHEMELIL VS WESTERN STIMA 3.00PM ULINZI STARS VS ZOO KERICHO 3.00PM MATHARE UNITED VS GOR MAHIA 3.00PM KAKAMEGA HOMEBOYZ VS POSTA RANGERS 3.15PM AFC LEOPARDS VS NZOIA SUGAR 4.15PM BY SAJIDA […]

Continue reading


TAARIFA ZA SPOTI IJUMAA 04/01/2019

AARIFA ZA MICHEZO IJUMAA 4/01/2019 KITAIFA SHIRIKISHO LA RIADHA NCHINI ATHLETIC KENYA ALMAARUFU A.K LIMEPIGA MARUFUKU MBIO ZINAZO-ENDELEZWA NA WADAU TOFAUTI BILA KUPATA RUHUSA KUTOKA AFISI KUU YA RIADHA NCHINI.KWENYE TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI A.K IMESEMA KUWA ATAKAYEPATIKANA AKIENDESHA SHUGHULI ZOZOTE ZA RIADHA BILA IDHINI ATATIWA MBARONI NA KUFUNGULIWA MASHTAKA. NA HIVYO A.K IMEWATAKA […]

Continue reading