LUBAO FREQUENCY MODULATION LIMITED

Uniting Communities
  1. Listen to Lubao FM Live 102.2 FM
  1. Home
  2. Local news

Category: Local news

Msichana wa Chuo kikuu kuavya mimba na kutupa kijusi kichakani Kakamega.

Msichana wa Chuo kikuu kuavya mimba na kutupa kijusi kichakani Kakamega.

Maafisa wa polisi mjini Kakamega wanachunguza kisa ambacho mwanafunzi mmoja wa chuo kikuu cha sayansi na teknolojia cha masinde muliro anadaiwa kuavya mimba kabla yakutupa kijusi kwenye kichaka katika Mtaa wa kefinco wadi ya shieywe…

Read More
Wafanyikazi zaidi ya 500 huenda wakasimamishwa kazi katika kiwanda cha kusaga sukari cha Busia.

Wafanyikazi zaidi ya 500 huenda wakasimamishwa kazi katika kiwanda cha kusaga sukari cha Busia.

kiwanda cha kusaga sukari cha Busia kilichoko wadi ya Busibwabo eneo bunge la Matayos kaunti ya Busia kutangaza kuwa huenda kikawasimamisha kazi zaidi ya wafanyakazi wake 500 kutokana na kiwanda hicho kukosa malighafi au miwa…

Read More
Wauguzi na wahudumu wa afywa wametiwa karantini katika zahanati ya Khamulati, Kimilili.

Wauguzi na wahudumu wa afywa wametiwa karantini katika zahanati ya Khamulati, Kimilili.

Jumla ya wauguzi na wahudumu wa afya 22 katika zahanati ya Khamulati eneo bunge la Kimilili wamewekwa karantini ya siku 14 baada yao kutangamana na mgonjwa aliyepatikana na virusi vya Korona na baadaye kufariki dunia…

Read More
Robbers broke into St. John the Baptist Likuyani Boys High school in Likuyani Sub County, Kakamega County

Robbers broke into St. John the Baptist Likuyani Boys High school in Likuyani Sub County, Kakamega County

A gang of robbers broke into St. John the Baptist Likuyani Boys High School in likuyani sub county, Kakamega County and made away with property worth thousands of shillings. Confirming the incident acting Likuyani location…

Read More
“Lazima tuzingatie masharti kama viongozi wa madhehebu”, Asema Askofu Anthony Muheria

“Lazima tuzingatie masharti kama viongozi wa madhehebu”, Asema Askofu Anthony Muheria

Mwenyekiti wa baraza la kidini lililotathmini pendekezo la kufungua makanisa askofu Antony Muheria, ameelezea kuwa Maeneo yote ya kuabudu yatafunguliwa kuanzia Jumanne Juma lijalo. Askofu anasemea muda huu utawapa wakuu wa madhehebu mbalimbali muda wa…

Read More

Mmoja aaga katika ajali Malava

Mhudumu mmoja wa bodaboda amefariki papo hapo huku abiria wake wawili wakisazwa na majeraha mabaya kwenye barabara ya Kakamega-Webuye karibu na kituo cha mafuta cha Holiday mjini Malava. Kulingana na waliyoshuhudia ajali hiyo,ni kuwa mwendazake…

Read More

Mbunge wa Lugari, Ayub Savula kupeleka mswada bungeni dhidhi ya Viongozi wanaokiuka masharti ya serikali

Mbunge wa Lugari Ayub Savula sasa anasema kuwa atapeleka mswada bungeni kutaka kujua ni kwa nini  waziri wa ugatuzi Eugene Wamalwa na mwenyekiti wa baraza la magavana nchini wycliffe oparanya hawawezi kuchukukuliwa hatua za kisheria…

Read More

Mshukiwa wa wizi wa ng’ombe akamatwa Lubao

by Musa Brian Mwanaume mwenye umri wa miaka 30 , kutoka  eneo la shikuhula , kaunti ya kakamega , ametiwa mbaroni kwa tuhuma za kuiba ng’ombe , majira ya usiku. mwathiriwa Wilson Kethi ambaye ni…

Read More

Suspected cattle thief arrested in Lubao

by Janepher Okonga Police officers and the area Ass. chief, Lubao sub-location madam Suluvei Ashiono, have managed to arrest a man aged 30yrs who allegedly stole a cow from Shikuhula area, Kakamega  County. Wilson keth…

Read More

Mauti eneo la Luyeshe kufuatia ajali

Mtu mmoja amefariki papo hapo huku mwingine akijeruhiwa vibaya na kukimbizwa katika hospitali ya malava baada ya baiskeli Waliokuwa wameabiri kugongwa na matatu katika eneo la Luyeshe kwenye barabara kuu ya Kakamega–webuye siku ya jumapili…

Read More