LUBAO FREQUENCY MODULATION LIMITED

Uniting Communities
  1. Listen to Lubao FM Live 102.2 FM

Live now:

Up next:

  1. Home
  2. Local news

Category: Local news

MAANDAMANO WADI YA BUKEMBE/ BUNGOMA

MAANDAMANO WADI YA BUKEMBE/ BUNGOMA

Shughuli za uchukuzi zimetatizika kwa muda kwenye barabara ya Muyayi kuelekea Ndengelwa katika wadi ya Bukembe Magharibi kaunti ya Bungoma baada ya wahudumu wa bodaboda wakishirikiana na wakazi kuandaa maandamano na hata kupanda migomba ya…

Read More
KNUT tawi la Busia wameelezea matumaini ya kuimarisha chama hicho kwa kufanya majadiliano na Tume ya huduma za walimu TSC

KNUT tawi la Busia wameelezea matumaini ya kuimarisha chama hicho kwa kufanya majadiliano na Tume ya huduma za walimu TSC

Viongozi wa chama cha kutetea maslahi ya walimu nchini KNUT tawi la Busia wameelezea matumaini ya kuimarisha chama hicho kwa kufanya majadiliano na Tume ya huduma za walimu TSC baada ya kukamilisha uchaguzi unaotarajiwa kufanyika…

Read More
Malalamishi kutoka kwa madereva wa taxi mjini Edoret kwa serikali ya kaunti ya Uasin Gishu

Malalamishi kutoka kwa madereva wa taxi mjini Edoret kwa serikali ya kaunti ya Uasin Gishu

Madereva wa taxi mjini eldoret wametoa malalamishi kwa serikali ya kaunti kwa kuwafurusha mahali pa biashara na kisha kuchukua magari yao. Madereva hao wamepata magari yao yamechukuliwa licha ya kulipa kodi ya elfu mbili na…

Read More
Wakulima wa kahawa eneo la Magharibi wahofia huenda wakakosa kupokea mgao wa fedha

Wakulima wa kahawa eneo la Magharibi wahofia huenda wakakosa kupokea mgao wa fedha

Wakulima wa kahawa kutoka  eneo la magharibi mwa Kenya wamehofia kuwa huenda wakakosa kupokea mgao wa fedha wa shilingi bilioni tatu zilizotolewa na serikali ya taifa ili kusaidia kuboresha kilimo hicho. Afisa mkuu mtendaji wa…

Read More
Mwanafunzi wa shule ya Nyang’ori amemua mlinzi wa shule kaunti ya Vihiga

Mwanafunzi wa shule ya Nyang’ori amemua mlinzi wa shule kaunti ya Vihiga

Mwanafunzi wa kidato Cha tatu shule ya upili ya Nyang’ori Kaunti ya Vihiga ambaye amemwua mlinzi wa shule hiyo leo kwa Jina Willy Mkonambi atafunguliwa mashtaka ya mauaji. Haya nikulingana na idara ya upelelezi ambayo…

Read More
BUZEKI amejiuzulu kama katibu mkuu wa chama cha mashinani (CCM)

BUZEKI amejiuzulu kama katibu mkuu wa chama cha mashinani (CCM)

Mfanyabiashara maarufu eneo la Uasin Gishu Bundotich Zedikiah Kiprotich almarufu kama BUZEKI amejiuzulu kama katibu mkuu wa Chama Cha Mashinani (CCM) kinachoongozwa naye aliyekuwa gavana wa Bomet Isaac Ruto. BUZEKI amesema auamuzi huo umeafikiwa baada…

Read More
Mihadarati eneo la Pwani

Mihadarati eneo la Pwani

Mihadarati imetajwa kuwa miongoni mwa vyanzo vya Visa vya utovi wa nidhamu mwambao wa pwani hasa eneo la Likoni kwani vijana wengi wameingilia utumizi wa dawa za kulevya na kuwa waraibu huku wakijiingiza katika vitendo…

Read More
Familia inaomboleza kifo cha mmoja wao

Familia inaomboleza kifo cha mmoja wao

Familia moja kutoka kijiji cha Bugina Kaunti ya Vihiga, inaomboleza kifo Cha mmoja wao, Elfas Nengo Indangasi, baada ya kukatwa na kundi la vijana linaloaminika kuwasumbua wanakijiji hao.  Kulingana na Caith Desire, mmoja wa familia…

Read More
NIDHAMU KWA WATOTO

NIDHAMU KWA WATOTO

Ipo haja kwa wazazi kuwa karibu na wanao kwa kuhakikisha wana nidhamu  na maadili mema ili wasije wakakatisha ndoto yao ya maisha kwa kujihusisha kwenye visa potovu. Akizungumza huko Shibuli naibu wa chifu wa eneo…

Read More
HAKUNA KAZI KWA WAHUDUMU WA AFYA IFIKAPO WIKI KESHO OPARANYA ASEMA

HAKUNA KAZI KWA WAHUDUMU WA AFYA IFIKAPO WIKI KESHO OPARANYA ASEMA

Kwa mara nyingine gavana wa kaunti ya Kakamega ambaye pia ni mwenyekiti wa baraza la gavana nchini Wycliffe Ambetsa Oparanya ameshikilia kauli yake ya kupiga kalamu wahudumu wa afya ambao bado wanagoma kufikia wiki lijalo…

Read More