Waziri Makhanu kuwataka akina mama kutumia nafasi ya fedha za serikali ili kujiendeleza kiuchumi
Waziri wa biashara katika serikali ya kaunti ya Kakamega Robert Makhanu amewataka akina mama kutumia nafasi ya fedha za serikali kujiendeleza kiuchumi Akiwahutubia wanachama wa makundi ya akina mama eneo la Butere, Makhanu amesema serikali…
Read More