LUBAO FREQUENCY MODULATION LIMITED

Uniting Communities
  1. Listen to Lubao FM Live 102.2 FM

Live now:

Up next:

  1. Home
  2. Local news

Category: Local news

Mwanaume afariki kwa kujitupa ndami ya shimo la choo kaunti ya Busia

Mwanaume afariki kwa kujitupa ndami ya shimo la choo kaunti ya Busia

Biwi la zimanzi limetanda katika kijiji cha Iseka kaunti ndogo ya Nambale Kaunti ya Busia baada ya mwanamume mmoja kupatikana akiwa ameaga dunia kwenye shimo la Choo la mkaazi mmoja kijijini humo. Kwa mjibu wa…

Read More
Wakaazi wa Kaunti ya Bungoma kuhimizwa kuchukua Chanjo dhidi ya Virusi vya Corona

Wakaazi wa Kaunti ya Bungoma kuhimizwa kuchukua Chanjo dhidi ya Virusi vya Corona

Huku zoezi la chanjo dhidi ya virusi vya korona ikiendelea, wito unazidi kutolewa na viongozi mbalimbali kuwahimiza wanainchi kujitokeza ili kupokea chanjo hiyo. Wa hivi punde kuzungumzia swala hilo ni askofu wa kanisa la Holy Gate…

Read More
Mwili wa mwanamme kupatikana ndani ya miya baada ya kupotea kwa njia tatanishi eneo la mang’ang’a kaunti ya Kakamega

Mwili wa mwanamme kupatikana ndani ya miya baada ya kupotea kwa njia tatanishi eneo la mang’ang’a kaunti ya Kakamega

Hali  ya  uzini  ingali  imetanda  katika  kijiji  cha  Mang’ang’a  wadi  ya  Isukha  Kaskazini   eneobunge  la  Shinyalu  kaunti  ya  Kakamega   baada  ya  mwili   wa  mwanaume  mmoja    Peter  Mbalilwa  aliyetoweka  siku  ya    jumapili  katika  njia  ya  kutatanisha …

Read More
Wanabodaboda Kaunti ya Bungoma kulalamikia Hali ngumu ya maisha

Wanabodaboda Kaunti ya Bungoma kulalamikia Hali ngumu ya maisha

Wanaharakati chini ya vuguvugu la Bungoma Liberation wameilaumu serikali ya Kaunti ya Bungoma kwa kuwatoza ada za juu wahudumu wa Bodaboda licha ya hali ngumu ya uchumi. Msemaji wa vuguvugu hilo Isaiah Sakonyi amemkashifu Gavana…

Read More
Mvinyo aina ya Chang’aa yasababisha Kifo kaunti ya Kakamega

Mvinyo aina ya Chang’aa yasababisha Kifo kaunti ya Kakamega

Mwanamme afariki baada ya kudaiwa kubugia pombe ya chang’aa akiwa na njaa huku familia ya mwendazake ikitoa sarakasi kwa kukwamia mwili wake kwa madai kuwa hawakauwa na hela za upasuaji na mochuari Kakamega. Wanakijii wakiongozwa…

Read More
POLISI ALIYEUAWA NA MUMEWE AZIKWA KAKAMEGA

POLISI ALIYEUAWA NA MUMEWE AZIKWA KAKAMEGA

Hatimaye afisa wa polisi aliyeuawa kwa kupigwa risasi na mumewe ambaye pia alikuwa polisi usiku wa tarehe 6 mwezi huu mjini Nairobi kutokana na mzozo wa kinyumbani, amezikwa hii leo katika kijiji cha Matsakha eneo…

Read More
Vijana wahimiza serikali kutumia mikopo kuwainua kiuchumi

Vijana wahimiza serikali kutumia mikopo kuwainua kiuchumi

Vijana katika wadi ya Butsotso Mashariki eneo bunge la Lurambi kaunti ya Kakamega wanaitaka serikali kutumia fedha inazokopa kutoka nje kwa ajili ya corona kuwasaidia vijana kujiinua kimapato Wakiongea baada ya hafla ya kuchangisha pesa…

Read More
Mshukiwa wa tuhuma za wizi kukamatwa eneo la Shilongo kaunti ya Kakamega

Mshukiwa wa tuhuma za wizi kukamatwa eneo la Shilongo kaunti ya Kakamega

Jamaa mwenye umri wa makamu anazuiliwa katika kituo cha polisi cha Lubao kwa tuhuma za wizi wa kuku na mabati katika kijiji cha Shilongo lokesheni ndogo ya Lubao,eneo bunge la Shinyalu kaunti ya Kakamega Jamaa…

Read More
Mbunge wa Matungu kuwaonya wanakandarasi wanaozembea kazini

Mbunge wa Matungu kuwaonya wanakandarasi wanaozembea kazini

Onyo kali imetolewa kwa wanakandarasi walio na tabia ya kufanya kazi duni katika eneo Bunge la Matungu kuwa muda wao wa kufuja fedha za serikali umepita na kuwa hawataruhusiwa kuendesha kufanya kazi yeyote eneo hilo.…

Read More
Wangwe Ataka Ripoti Ya Jopo La Sukari Kuwasilishwa Bungeni

Wangwe Ataka Ripoti Ya Jopo La Sukari Kuwasilishwa Bungeni

Kiranja wa wengi katika bunge la kitaifa ambaye pia ni mbunge wa Navakholo Emmanuel Wangwe amelitaka jopo la sukari kuwasilisha ripoti yake Bungeni ili kujadili na mapendekezo yake idhinishwe kufufua viwanda vya sukari vilivyokwama eneo…

Read More