LUBAO FREQUENCY MODULATION LIMITED

Uniting Communities
  1. Listen to Lubao FM Live 102.2 FM

Live now:

Up next:

  1. Home
  2. Local news

Category: Local news

Viongozi wa KNUT Kakamega waapa kupigania maslahi ya walimu licha ya changamoto

Viongozi wa KNUT Kakamega waapa kupigania maslahi ya walimu licha ya changamoto

Chama cha kutetea masilahi ya walimu nchini KNUT kaunti ya Kakamega chafanya uchanguzi huku aliyekuwa mwenyekiti na katibu mkuu Patrick Chungani na Argadious Liyayi kwa mtawalia wakichaguliwa tena  Wakizungumza baada ya kuchaguliwa afisi hiyo ya…

Read More
Mwili wa mwanaume aliyeaga miezi kumi na nane iliyopita umezuiliwa kuzikwa katika shamba lake katika eneo bunge la Ikolomani kaunti ya Kakamega

Mwili wa mwanaume aliyeaga miezi kumi na nane iliyopita umezuiliwa kuzikwa katika shamba lake katika eneo bunge la Ikolomani kaunti ya Kakamega

Huenda jamaa ya mzee aliyeaga katika eneo bunge la Ikolomani miezi kumi na nane iliyopita na kuzuiliwa kuzikwa kwa kipande alichonunua yapata miaka 45 iliyopita kwa kutokamilisha malipo wakaendelea kumuombolelezea kwenye chumba cha wafu Mukumu…

Read More
Walimu wakuu wametakiwa kuridhika na fedha za Basari ambazo zimepeanwa kwa shule na kuwaruhusu wanafunzi kuendelea na masomo yao bila kutumwa nyumbani

Walimu wakuu wametakiwa kuridhika na fedha za Basari ambazo zimepeanwa kwa shule na kuwaruhusu wanafunzi kuendelea na masomo yao bila kutumwa nyumbani

Mwakilishi wadi ya Marama Magharibi eneo bunge la Butere kaunti ya Kakamega Boaz Milton Omukunde maarufu kama Saitama amewataka wakuu wa shule kuridhika na fedha za basari ambazo zimepeanwa kwa shule na kuwarusu wanafunzi kuendelea…

Read More
Kanisa kaunti ya Kakamega Halikubaliani kwa vyovyote vile na ghasia haswa Eneo bunge la Matungu na kuwataka viongozi kuwajibika

Kanisa kaunti ya Kakamega Halikubaliani kwa vyovyote vile na ghasia haswa Eneo bunge la Matungu na kuwataka viongozi kuwajibika

Kwenye kikao na wanahabari ofisini mwake Askofu wa kanisa hilo Joseph Wandera amesema kuwa kama kanisa  hawakubaliani kwa vyovyote vile na ghasia haswa za Matungu na kuwataka vyongozi kuwajibika Wandera aidha ametaka adhabu kali kutolewa…

Read More
Moto Wateketeza Mali Ya Dhamani Isiyo Julikana Katika Kiwanda Cha Mumias

Moto Wateketeza Mali Ya Dhamani Isiyo Julikana Katika Kiwanda Cha Mumias

Mali ya dhamana isiyojulikana iliteketea katika kiwanda cha kusiaga miwa cha Mumias baada ya taka ya mabaki ya miwa iliyosagwa(bagasse) kushika moto mwendo wa saa nane mchana jana Jumatano. Kulingana na kaimu meneja wa kiwanda…

Read More
Wafanyikazi wa Chuo kikuu cha Moi kwa mara ya pili wamesusia kazi kwa kile wanadai matakwa yao hayajashugulikiwa vikamilifu

Wafanyikazi wa Chuo kikuu cha Moi kwa mara ya pili wamesusia kazi kwa kile wanadai matakwa yao hayajashugulikiwa vikamilifu

Kwa Mara ya pili, wafanyakazi wa Chuo kikuu cha Moi wakiwemo wahadhiri wamesusia kazi kwa kile wamedai matakwa yao hayajashughulikiwa vikamilifu.  Wakihutubia wanahabari nje ya ofisi Kuu ya Chuo hicho, wafanyakazi hao kupitia katibu mkuu…

Read More
Seneta wa kaunti ya Kakamega aachiliwa kwa dhamana ya shilingi milioni 2.5 baada ya kukanusha mashtaka yanayo mkabili

Seneta wa kaunti ya Kakamega aachiliwa kwa dhamana ya shilingi milioni 2.5 baada ya kukanusha mashtaka yanayo mkabili

Seneta wa kaunti ya Kakamega Cleophas Malala ameachiliwa na mahakama ya Kakamega kwa dhamana ya shilingi milioni 2.5 baada ya kukanusha mashtaka yanayomkabili ya madai ya wizi wa mabavu, kumpiga afisa wa IEBC na kuharibu…

Read More
Utapeli dhidi ya Mbegu na Mbolea ya kaunti katika kaunti ya Kakamega

Utapeli dhidi ya Mbegu na Mbolea ya kaunti katika kaunti ya Kakamega

Wakazi wa wadi ya Butsotso Mashariki eneo bunge la Lurambi kaunti ya Kakamega wametahadharishwa dhidi ya matapeli ambao wananunua mbegu na mbolea ya kaunti na kuweka kwenye mifuko na kuwauzia wakazi kwa bei ghali Akiwahutubia…

Read More
Kaunti ya Uasin Gishu kuwasilisha mchakato wa Maridhiano wa BBI baada ya kufanya majadiliano

Kaunti ya Uasin Gishu kuwasilisha mchakato wa Maridhiano wa BBI baada ya kufanya majadiliano

Kaunti ya Uasin Gishu imewasilisha mchakato wa maridhiano wa BBİ bungeni  hivi leo na imeidhinisha baada ya kufanya majadiliano. Kulingana na spika wa kaunti ya Uasin Gishu David Kiplagat amearifu kuwa Wajumbe 46 ambao walifika…

Read More
Mzozo wa Uongozi Katika Bunge la Kaunti ya Kakamega

Mzozo wa Uongozi Katika Bunge la Kaunti ya Kakamega

Mzozo wa uongozi katika bunge la kaunti ya Kakamega unazidi kutokota hii baada ya jumla ya wakilishi wadi 69 kati ya 89 wa bunge la kaunti ya Kakamega wamemtimua kiongozi wa wengi Joel Ongoro kutoka…

Read More