LUBAO FREQUENCY MODULATION LIMITED

Uniting Communities
  1. Listen to Lubao FM Live 102.2 FM

Live now:

Up next:

  1. Home
  2. Local news

Category: Local news

Familia moja kulilia haki katika kijiji cha Musasa, Shiveye eneo bunge la Ikolomani Kaunti ya Kakamega

Familia moja kulilia haki katika kijiji cha Musasa, Shiveye eneo bunge la Ikolomani Kaunti ya Kakamega

Familia moja kutoka kijiji cha Musasa kata ya Shiveye eneo bunge la Ikolomani kaunti ya Kakamega inaelezea kunyanyaswa na mkaaazi mmoja eneo hilo anayedaiwa kutokamilisha kiwango cha pesa ambacho waliagizana wakati wa kununua shamba ambalo…

Read More
Mwanaume Apatikana Amefariki Kifo Tatanishi Bila Nguo eneobunge la Malava kaunti ya Kakamega

Mwanaume Apatikana Amefariki Kifo Tatanishi Bila Nguo eneobunge la Malava kaunti ya Kakamega

   Mwanamme mwenye umri wa miaka 23 kwa majina Dickson Mike amepatikana akiwa amafariki kwa njia tatanishi kwenye chumba kimoja cha burudani katika soko la Kambi Mwanza eneo bunge la Malava. Kulingana na naibu chifu wa…

Read More
Askofu Khamala Azindua Upeanaji Wa Fomu Za Basari Kwa Wanafunzi Lurambi

Askofu Khamala Azindua Upeanaji Wa Fomu Za Basari Kwa Wanafunzi Lurambi

Hazina ya ustawishaji maendeleo ya  CDF eneo bunge la Lurambi imeanza upeanaji wa fomu za basari kwa wanafunzi kutoka jamii maskini ili kuendeleza elimu yao katika shule za upili,vyuo vikuu na taasisi za kadiri. Akizungumza…

Read More
Mwakilishi wadi wa Sabatia Magaribi ameanzisha mpango maalum wa kuchangisha pesa za upanuzi wa baadi za shule eneo hilo

Mwakilishi wadi wa Sabatia Magaribi ameanzisha mpango maalum wa kuchangisha pesa za upanuzi wa baadi za shule eneo hilo

Ili kufanikisha juhudi za wizara ya elimu kwa maswala ya miundo msingi katika shule za umma humu nchini, mwakilishi wadi wa Sabatia Magharibi ambaye pia ni kiongozi wa wengi katika bunge la kaunti ya Vihiga…

Read More
Wazazi wanashauriwa kutunza wanao katika kaunti ya Kakamega

Wazazi wanashauriwa kutunza wanao katika kaunti ya Kakamega

Seneta mteule katika kaunti ya Kakamega Naomi Shiyonga amewataka wazazi kuwalinda vyema wanao wanapo rejea nyumbani katika likizo ili wasijihusishe na visa vya utovu wa nidhamu miongoni mwao Akiwahutubia waombolezaji kwenye hafla ya mazishi katika…

Read More
Mama Mmoja Kakamega Adhimisha Siku Ya Wanawake Duniani Kwa Kuzaa Mapacha Watatu

Mama Mmoja Kakamega Adhimisha Siku Ya Wanawake Duniani Kwa Kuzaa Mapacha Watatu

Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya wanawake duniani , mwanamke mmoja wa miaka 30 katika mtaa wa Amalemba wadi ya Shirere viungani mwa mji wa Kakamega anasherehekea siku hiyo kwa kuzaa mapacha watatu japo anahitaji wahisani…

Read More
Migomo ya secta mbalimbali humu nnchini miongoni mwa wafanyikazi huenda ndio inasababisha migomo ya wanafunzi katika shule tofauti humu nnchini

Migomo ya secta mbalimbali humu nnchini miongoni mwa wafanyikazi huenda ndio inasababisha migomo ya wanafunzi katika shule tofauti humu nnchini

Migomo ya mara kwa mara miongoni mwa wafanyikazi wa sekta mbali mbali humu nchini ndio sababisho la migomo  inayoshuhudiwa miongoni mwa wanafunzi, Ni usemi wa padre wa parokia ya kanduyi kaunti ya Bungoma Dominic Osianji…

Read More
Vijana Eneobungbie Mumias Maghara

Vijana Eneobungbie Mumias Maghara

Vijana katika eneo bunge la Mumias Magharibi wakiongozwa na Geofrey Makokha wamemtaka kinara wa ANC Musalia Mudavadi na mwenzake wa Ford Kenya Moses Wetangula kuwahusisha vijana katika safari yao ya kutafuta uongozi wa taifa hili…

Read More
Uchaguzi Mdogo wa wadi ya Huruma kaunti ya Uasin Gishu

Uchaguzi Mdogo wa wadi ya Huruma kaunti ya Uasin Gishu

Hatimaye mshindi wa uchaguzi mdogo wa kutoka wadi ya Huruma kaunti ya Uasin Gishu Lucy Ng’endo Chomba ametawazwa mshindi na tikiti ya chama cha Jubilee. Kinyang’anyiro hicho kilikuwa na upinzani mkali kwani Lucy Chomba alipata…

Read More
Wananchi wanashauriwa kuzingatia maswala na usafi wa vyakula wanapokuwa katika ibada za mazishi

Wananchi wanashauriwa kuzingatia maswala na usafi wa vyakula wanapokuwa katika ibada za mazishi

Wananchi wanashauriwa kuzingatia maswala na usafi wa vyakula wanapokuwa katika ibaada za mazishi. Akiwahutubia waombolezaji katika ibaada ya mazishi ya mwenda zake James Wendo katika kijiji cha Lukusi-B kata ndogo ya Lukusi iliyo katika wadi…

Read More