LUBAO FREQUENCY MODULATION LIMITED

Uniting Communities
  1. Listen to Lubao FM Live 102.2 FM

Live now:

Up next:

  1. Home
  2. Local news

Category: Local news

KANU FRESH BUNGOMA YASUTA SERIKALI

KANU FRESH BUNGOMA YASUTA SERIKALI

Uongozi wa chama cha KANU fresh kaunti ya Bungoma kupitia mwenyekiti wake Leonard Muyelele wataka serikali kuu kuweza kutafuta njia mbadala kutatua mgomo wa wahudumu ambao umedumu kwa mda sasa Leonard Muyelele ambaye ni mwenyekiti…

Read More
VIJANA WAZOZANA KAUNTI YA BUSIA

VIJANA WAZOZANA KAUNTI YA BUSIA

Kundi moja la vijana katika kaunti ya Busia chini ya vuguvugu la THE ALLIANCE BUSIA YOUTH ASSOCIATION limelisuta baraza la kitaifa la vijana la National Youth Alliance afisi ya Busia chini ya kiongozi wao Benjamin…

Read More
Viongozi wa kanisa kukashifu ufisadi nchini Kenya

Viongozi wa kanisa kukashifu ufisadi nchini Kenya

Muungano wa dini kaunti ya kakamega wasema jaji mkuu Maraga  ameiacha nchi ya Kenya katika changamoto ya ufisadi.  Muungano huo kupitia mwenyekiti wake askofu Nicholas Olumasai umedai kiwango cha juu cha ufisadi katika taifa la…

Read More
MWANAUME AFARIKI KWA KUJITIA KITANZI KAKAMEGA KWA KUDAI KUMPATA MKEWE AKILA URODA NA MPANGO WA KANDO

MWANAUME AFARIKI KWA KUJITIA KITANZI KAKAMEGA KWA KUDAI KUMPATA MKEWE AKILA URODA NA MPANGO WA KANDO

Hali ya majonzi imetanda katika kijiji cha Shikoti wadi ya Butsotso mashariki eneo bunge la Lurambi kaunti ya Kakamega baada ya mwanaume wa miaka 37 Kwa jina Simon Akhonya kujitia kitanzi Kwa madai ya kumpata…

Read More
AFUENI KWA WANAFUNZI KUTOKA WADI YA BUTALI CHEGULO KAUNTI YA KAKAMEGA KUJIUNGA NA TTI

AFUENI KWA WANAFUNZI KUTOKA WADI YA BUTALI CHEGULO KAUNTI YA KAKAMEGA KUJIUNGA NA TTI

Huku shughuli za masomo zikiingia juma la pili katika taasisi zote za elimu nchini zaidi ya vijana 40 wamepata fursa ya kujiunga na chuo cha kiufundi cha Shamberere kupitia kwa afisi ya mwakilishi wa wadi…

Read More
Mtoto ameanguka katika ndoo ya Maji na kufariki katika kata ya Butali eneo bunge la Malava

Mtoto ameanguka katika ndoo ya Maji na kufariki katika kata ya Butali eneo bunge la Malava

Biwi la simanzi limetanda katika kijiji cha Muyundi kata ya Butali eneobunge la Malava baada ya mtoto mwenye umri wa miaka 2 kuanguka katika ndoo ya maji na kufariki kabla hajafikishwa hosipitalini. Kulingana na mamake…

Read More
Gavana wa Kakamega Wycliffe Oparanya kuongoza kampeni za mgombea wa chama cha ODM katika uchaguzi mdogo wa eneo bunge la Matungu

Gavana wa Kakamega Wycliffe Oparanya kuongoza kampeni za mgombea wa chama cha ODM katika uchaguzi mdogo wa eneo bunge la Matungu

Gavana wa kaunti ya Kakamega Wycliffe Oparanya, amesema ataongoza kampeni za mgombea wa chama cha ODM katika uchaguzi mdogo wa eneo bunge la Matungu utakaoandaliwa mwezi wa  machi tarehe  nne mwaka huu Akizungumza mjini mumias…

Read More
Mwanaume amefariki chumbani malava kaunti ya Kakamega

Mwanaume amefariki chumbani malava kaunti ya Kakamega

Mwanamme mwenye umri wa miaka 38 amepatikana ndani ya chumba chake akiwa amefariki huku mwili wake ukiwa na alama ya visu katika kijiji cha teresia eneo bunge la malava kaunti ya kakamega.    Kulingana na esther…

Read More
Mwanafunzi wa shule ya msingi amejitia kitanzi eneo bunge la Navakholo kaunti ya Kakamega

Mwanafunzi wa shule ya msingi amejitia kitanzi eneo bunge la Navakholo kaunti ya Kakamega

Familia moja katika kijiji cha mukama kata ndogo ya kochwa eneo bunge la navakholo inaomboleza kifo cha mwanao mwenye umri wa miaka 19 mwanafunzi wa darasa la saba katika shule ya msingi ya Mukama baada…

Read More
Wakaazi wa lubao wanashauriwa kuwaelimisha watoto wao

Wakaazi wa lubao wanashauriwa kuwaelimisha watoto wao

Wakaazi wa lubao wanashauriwa na viongozi wao wa usalama kuhakikisha kwamba hawabaki nyuma kuwaelimisha watoto wao kwa kuwapeleka shuleni. Wakizungumza katika ibaada ya mazishi ya mwenda zake aliyekuwa fundi shupavu mzee joel tieni imonje katika…

Read More