LUBAO FREQUENCY MODULATION LIMITED

Uniting Communities
  1. Listen to Lubao FM Live 102.2 FM

Live now:

Up next:

  1. Home
  2. Local news

Category: Local news

Wazazi kukaa na wanao kwa njia Nzuri hasa wale wa darasa la nane na kidato cha nne

Wazazi kukaa na wanao kwa njia Nzuri hasa wale wa darasa la nane na kidato cha nne

Wazazi wanashauriwa kukaa na wanao kwa njia nzuri wakiwemo wa darasa la nane na wa kidato cha nne wanapojiandaa kuukalia mtihani wa kitaifa mwezi machi mwaka huu. Akiwahutubia waombolezaji katika ibaada ya mazishi ya mwenda…

Read More
Kaunti za Bonde la Ufa zinaungana na kaunti zingine ishirini na kutenga fedha za wakulima

Kaunti za Bonde la Ufa zinaungana na kaunti zingine ishirini na kutenga fedha za wakulima

Muungano wa kiuchumi Kaskazini mwa Bonde la Ufa (NOREB) wameweza kuungana na kaunti zingine  ishirini na kutenga fedha za wakulima ambazo zitawasaidia kuwachanja mifugo dhidi ya maradhi ya miguu na midomo. Kwa mujibu wa mwenyekiti mtendaji …

Read More
Vijana Kutoa Hisia Tofauti Dhidi ya Mchakato wa BBI Kaunti ya Elgeyo Marakwet

Vijana Kutoa Hisia Tofauti Dhidi ya Mchakato wa BBI Kaunti ya Elgeyo Marakwet

Vijana kutoka Elgeyo Marakwet wametoa hisia tofauti dhidi ya mchakato wa BBİ kupitishwa au la katika kaunti ya Elgeyo Marakwet. Kulingana na kiongozi wa vijana kutoka eneo la Elgeyo Marakwet İsaac Cherono Rotich akihutubia wanahabari…

Read More
Kanisa kuwaleta wanasiasa pamoja na pia kusaidia wanafunzi walio na msongo wa mawazo

Kanisa kuwaleta wanasiasa pamoja na pia kusaidia wanafunzi walio na msongo wa mawazo

Huku ikisalia takriban mwaka mmoja kabla ya uchaguzi mkuu kuandaliwa nchini, viongozi wa kisiasa wameanzisha mchakato wa kuwaleta pamoja viongozi wa kisiasa na wale wa kidini kwa lengo kuhakikisha kuwa amani inazingatiwa pakubwa kabla na…

Read More
Kijana Atoweka Kwa Njia Tatanishi Baada Ya Kutishiwa MAISHA kaunti ya Kakamega Eneo bunge la Matungu

Kijana Atoweka Kwa Njia Tatanishi Baada Ya Kutishiwa MAISHA kaunti ya Kakamega Eneo bunge la Matungu

Familia moja kutoka kijiji cha Lubanga eneo bunge la Matungu kaunti ya Kakamega inaishi kwa hofu licha ya mwanao wa miaka 24 kutoweka kwa njia tatanishi baada ya kutishiwa maisha na ndugu ya babake. Mamake…

Read More
Mfanyakazi kutoroka na mke wa mwajiri wake kaunti ya Kakamega eneo bunge la Likuyani kaunti ya Kakamega

Mfanyakazi kutoroka na mke wa mwajiri wake kaunti ya Kakamega eneo bunge la Likuyani kaunti ya Kakamega

Mfanyibiashara mmoja kutoka kijiji cha Nyorotisi Kirwa eneo bunge la Likuyani kaunti ya Kakamega anayataka mashirika ya kutetea haki za wanaume kumsaidia kurejesha mkewe ambaye amenyakuliwa na mfanyikazi wake wa nyumbani. Aggrey Masinde baba ya…

Read More
Kauli ya aliye kuwa Seneta Bonny Khalwale kwa masaibu yanayowakumba wakulima wa zaomiwa kaunti ya Kakamega

Kauli ya aliye kuwa Seneta Bonny Khalwale kwa masaibu yanayowakumba wakulima wa zaomiwa kaunti ya Kakamega

Aliyekuwa Seneta wa kaunti ya Kakamega Bonny Khalwale sasa anataka usimamizi wa kiwanda cha sukari cha Butali na kile cha West Kenya kushughulikia tatizo la wakulima wa miwa na wala sio  kuwatumia madalili kuhujumu sekta…

Read More
Wezi kula nyasi Westkenya eneobunge la Malava Kaunti ya Kakamega

Wezi kula nyasi Westkenya eneobunge la Malava Kaunti ya Kakamega

Wenyeji wa kijiji cha Westkenya eneo bunge la Malava kaunti ya Kakamega wamejionea kioja baada ya watu wawili ambao ni wahudumu wa baa moja eneo hilo kugeuka kuwa wazimu kufuatia madai ya kushiriki wizi eneo…

Read More
Wanafunzi kupokezwa baiskeli katika shule ya upili ya Mtakatifu Monica Lubao

Wanafunzi kupokezwa baiskeli katika shule ya upili ya Mtakatifu Monica Lubao

 Ni afueni kubwa kwa wanafunzi wa shule ya upili ya Mtakatifu Monica Lubao baada ya wanafunzi 100 kufaidika na mradi wa Baiskeli aina ya Bufallo kutoka kwa shirika la kibafsi la World Bicycle relief ambalo…

Read More
Mauti Eneo bunge la Matungu Baada ya Mwanafunzi wa Darasa la Nane Kujitia Kitanzi

Mauti Eneo bunge la Matungu Baada ya Mwanafunzi wa Darasa la Nane Kujitia Kitanzi

Biwi  la  simanzi     lingali  limeigubika  familia  moja  kutoka  kijiji  cha  Mungakha wadi  ya  Namamali   eneobunge  la  Matungu  kaunti  ya  Kakamega   baada  ya  mwanafunzi  wa  darasa  la  nane  katika  shule  ya  msingi  ya  Mungakha  kujitia  kitanzi …

Read More