LUBAO FREQUENCY MODULATION LIMITED

Uniting Communities
  1. Listen to Lubao FM Live 102.2 FM

Live now:

Up next:

  1. Home
  2. Local news

Category: Local news

Wanasaikolojia Kuajiriwa katika shule ili Kuwasaidia wanafunzi walio na msongo wa mawazo

Wanasaikolojia Kuajiriwa katika shule ili Kuwasaidia wanafunzi walio na msongo wa mawazo

Walimu pamoja na washikadau wote katika sekta ya elimu wameshauriwa kuwa karibu na wanafunzi na kuwapa nafasi ya kujieleza ili kuepusha visa vya utovu wa nidhamu vinavyoendelea kushuhudiwa nchini. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa mamlaka…

Read More
Kina Mama Kaunti ya Bungoma kupata Pesa na Kushauriwa kujiandikisha na kikundi cha hazina yao ya Women Enterprise Fund

Kina Mama Kaunti ya Bungoma kupata Pesa na Kushauriwa kujiandikisha na kikundi cha hazina yao ya Women Enterprise Fund

Akina mama Kaunti ya Bungoma wameshauriwa kujisajili katika vikundi na kupewa pesa za mikopo kutoka hazina ya akina mama ya Women Enterprise Fund ili kujiendeleza kiuchumi. Akizungumza wakati wa kutoa kiasi cha shilingi milioni sita…

Read More
Wavuvi wa Ziwa Victoria Kaunti ya Busia kutoa Malalamishi kwa vikosi vya Coast Guard na Kenya Maritime Authority

Wavuvi wa Ziwa Victoria Kaunti ya Busia kutoa Malalamishi kwa vikosi vya Coast Guard na Kenya Maritime Authority

Wavuvi katika ziwa Victoria Kaunti ya BUSIA wamevisuta vikali vikosi vya Coast Guard na Kenya Maritime Authority kwa madai ya kuwanyanyasa. Wakiongozwa na Mwenyekiti Wa fuo za ziwa Victoria Sylvester Kaywa, wamevitaka vikosi hiyo kusitisha…

Read More
Wazazi Kulalama Kwaniaba ya Wana wao shuleni kaunti ya Bungoma

Wazazi Kulalama Kwaniaba ya Wana wao shuleni kaunti ya Bungoma

Baadhi ya wazazi katika shule ya upili ya Wasichana ya Cardinal Otunga kwenye Kaunti ya Bungoma wameushtumu uongozi wa shule hiyo kwa kuwatimua wanafunzi watano wa kidato cha tatu kwa madai ya kutumia dawa za…

Read More
Jamii Ya Mulembe Yatakiwa Kuungana Kutoa Rais Mwaka 2022

Jamii Ya Mulembe Yatakiwa Kuungana Kutoa Rais Mwaka 2022

Viongozi wa jamii ya mulembe wametakiwa kuungana na kutoa kiongozi mmoja atakaye peperusha pendera ya Urais ifikapo mwaka 2022 ili aungwe mkono na jamii yote kwa ujumla . Wakizungumza na idhaa hii mjini Malava wanabodaboda…

Read More
Siasa Matungu Kaunti ya Kakamega

Siasa Matungu Kaunti ya Kakamega

Seneta mteule kutoka kaunti ya Kakamega Naomi Shiyonga amewarai wakazi wa Matungu kujitokeza kwa wingi tarehe 4 mwezi ujao  kushiriki  uchaguzi mdogo utakaofanyika ili kumchagua mbunge wao baada ya aliyekuwa mbunge wa eneo hilo Justus…

Read More
Bunge La Kakamega Laidhinisha BBI

Bunge La Kakamega Laidhinisha BBI

Bunge la kaunti ya Kakamega kwa kauli moja limeidhinisha mswada wa ripoti ya BBI na kuwa kaunti ya 13 kati kaunti zote 47 kuidhinisha mswada huo. Ni wawilikishi wadi wawili tu kati ya 89 katika…

Read More
Wenyeji wa  Kakamega Watishia Kuandamana Kupinga Hatua ya Serikali Kupiga Marufuku Maiti Kuzikwa Kakamega

Wenyeji wa Kakamega Watishia Kuandamana Kupinga Hatua ya Serikali Kupiga Marufuku Maiti Kuzikwa Kakamega

Siku chache baada ya serikali ya kaunti ya Kakamega kuzuia mwili wa aliyekuwa afisa mkuu wa mifugo daktari Kelly Nelima kuzikwa kwenye shamba lake lililoko mtaa wa Kefinco viungani mwa mji wa Kakamega kwa madai…

Read More
Wanafunzi Kupewa dawa za Minyoo

Wanafunzi Kupewa dawa za Minyoo

Wizara ya afya Kaunti ya Bungoma kwa ushirikiano na wizara ya afya katika  serikali ya Kitaifa zinanuia kuanzisha mpango wa kuwapa dawa za minyoo wanafunzi wapatao 600,000 katika Kaunti ya Bungoma kama njia mojawapo ya…

Read More
Wanafunzi watano watimuliwa shuleni kwa tuhuma za kutumia dawa za kulevya kaunti ya Bungoma