LUBAO FREQUENCY MODULATION LIMITED

Uniting Communities
  1. Listen to Lubao FM Live 102.2 FM

Live now:

Up next:

  1. Home
  2. Local news

Category: Local news

Shule ya Sister Karoli yasherekea matokeo yao ya mtihani wa kitaifa kaunti ya Kakamega

Shule ya Sister Karoli yasherekea matokeo yao ya mtihani wa kitaifa kaunti ya Kakamega

Mbwembwe zilishamiri katika baadhi ya shule kaunti ya Kakamega baada ya matokeo ya KCPE kutangazwa huku shule ya msingi ya Sister Karoli eneo la Ileho Shinyalu ikijivunia kutoa mwanafunzi bora nchini katika somo la kiswahili…

Read More
Shule ya Mtakatifu Agostino  Lubao kusajili matokeo bora katika mtihani wa kitaifa

Shule ya Mtakatifu Agostino Lubao kusajili matokeo bora katika mtihani wa kitaifa

Huku shamrashamra za matokeo zikiendelea kushuhudiwa kote nchini shule ya msingi ya Mtakatifu Agostino Lubao ina kila sababu ya kusherehekea baada ya mwanafunzi wa kwanza kwenye shule hiyo kujizolea alama 404 kwenye mtihani wa kitaifa…

Read More
Matokeo ya Mtihani kaunti ya Kakamega shule ya Hill School, Fesbeth na Kakamega Primary

Matokeo ya Mtihani kaunti ya Kakamega shule ya Hill School, Fesbeth na Kakamega Primary

Saa chache baada ya waziri wa elimu profesa Gorge Magoha kutangaza matokeo ya mtihani wa darasa la nane baadhi ya shule za msingi katika kaunti ya Kakamega zimesherehekea matokeo mazuri ya mtihani huo licha ya…

Read More
Matokeo ya mtihani katika kaunti ya Bungoma Shule ya Moi Deb

Matokeo ya mtihani katika kaunti ya Bungoma Shule ya Moi Deb

Huku matokeo ya mtihani yakitangazwa rasmi hivi leo,shule ya msingi ya Moi Deb katika kaunti ya Bungoma imeibuka miongoni mwa shule zilizotia fora kwenye matokeo ya mwaka huu. Akielezea furaha yake mwalimu mkuu shule hiyo…

Read More
Mifugo yachajwa bila malipo kaunti ya Kakamega

Mifugo yachajwa bila malipo kaunti ya Kakamega

Wanyama wa kufugwa ikiwemo kondoo mbuzi na ngombe wamechanjwa ili kusaidia wanyama hao kuwa wenye afya na kupata kinga ili kuweza kusitiri magonjwa yote yanayosambaa miongoni mwao. Akizungumza eneo la Lubao afisa mmoja ameelezea shughuli…

Read More
Wito kwa serikali kuu na za kaunti kutadhmini Upya Ushuru

Wito kwa serikali kuu na za kaunti kutadhmini Upya Ushuru

Wito umetolewa kwa serikali za kaunti na ile ya kitaifa kutathmini upya ushuru unaotozwa bidhaa muhimu ikiwemo bidhaa za mafuta ya petroli ili kuwawezsesha wananchi kurejelea maisha yao ya kawaida hasa wakati huu mgumu wa…

Read More
Pombe haramu kupigwa marufuku kaunti ya Kakamega

Pombe haramu kupigwa marufuku kaunti ya Kakamega

Oparesheni zidi ya pombe haramu ya chang’aa imefutiliwa katika wadi ya Isukha Kusini eneo bunge la Shinyalu kaunti ya Kakamega baada ya wahudumu wa serikali ya kitaifa na kaunti wakiwa   na  manaibu chifu,  chifu,…

Read More
Vituo vya kukabili Dhulma za Kijinsia Kaunti ya Kakamega

Vituo vya kukabili Dhulma za Kijinsia Kaunti ya Kakamega

Vituo vitano vya kuwashughulikia wahasiriwa wa dhuluma za kijinsia vimezinduliwa rasmi kaunti ya Kakamega  na nia ya kukabili visa hivyo vilivyoenea kaunti hiyo huku serikali ya kaunti ikiendeleza juhudi za kukamilisha mswada utakaohakikisha kuwa wote…

Read More
Umuhimu wa kilimo cha Samaki katika kaunti ya Kakamega

Umuhimu wa kilimo cha Samaki katika kaunti ya Kakamega

Serikali ya kaunti ya Kakamega imeanzisha mchakato wa kuwahamasisha  wakulima wa kaunti hiyo kuhusu kilimo cha samaki na nia ya kukiimarisha kilimo hicho ili kuinua kiwango cha uchumi miongoni mwao. Akizungumza wakati wa mafunzo hayo…

Read More
Ajali barabara kuu ya Eldoret-Webuye eneo la Lugari kaunti ya Kakamega

Ajali barabara kuu ya Eldoret-Webuye eneo la Lugari kaunti ya Kakamega

Watu watano wakiwemo baba, mama na wanao wawili wamelazwa hospitalini wakiwa na majeraha mabaya waliyoyapata baada ya trela moja lililokuwa likisafiri kwenye barabara kuu ya Eldoret – Webuye kupoteza mwelekeo na kuingia kwenye jengo moja…

Read More