LUBAO FREQUENCY MODULATION LIMITED

Uniting Communities
  1. Listen to Lubao FM Live 102.2 FM

Live now:

Up next:

  1. Home
  2. Local news

Category: Local news

Wakazi wa Shinyalu kuchukulia mzaha Baraza

Wakazi wa Shinyalu kuchukulia mzaha Baraza

Wakaazi wa kijiji cha imakuchi katika lokesheni ndogo ya Ivakale Lokesheni ya kambiri eneo bunge la Shinyalu, wanaombwa Kutochukulia mzaha agizo la kufika kwenye baraza. Akiongea na kituo hiki baada ya wakaazi hao kutofika katika…

Read More
Kakamega Chamber host Pakistan Embassy

Kakamega Chamber host Pakistan Embassy

Kakamega Chamber played host to the Consular from the Pakistan Embassy today. Many areas of mutual engagements were discussed including linking local Exporters to the Pakistani market, local importers to Exporters from Pakistan and the…

Read More
Watoto saba wateseka mjini Busia

Watoto saba wateseka mjini Busia

Jumla ya watoto saba mayatima wenye umri wa kati ya miaka 11 na 18 kutoka mjini Nambale Kaunti ya Busia wanaishi maisha ya mahangaiko baada ya mama mzazi kuwatoroka zaidi ya miaka miwili iliyopita. Watoto…

Read More
Wazazi wa shule ya msingi Mutoto

Wazazi wa shule ya msingi Mutoto

 Wazazi wa shule ya Mutoto ilioko eneobunge la Malava kaunti ya Kakamega wanaiomba serikali kuingilia kati na kuwasaidia kutokana na makali ya sheria za shule hiyo wakidai kuwa wamelazimishwa kuchimba vyoo vya shule na kutishiwa…

Read More
Usafi sokoni kaunti ya Kakamega

Usafi sokoni kaunti ya Kakamega

Wafanyi  biashara  wa  soko  la  Kambi-Mwanza  lililo  katika  kaunti  ndogo  ya  Malava  kaunti  ya  Kakamega,  wanalilia  hali  ya  soko  hilo  kuwa  hairidhishi  kwa  upande  wa  usafi. Wakiongea  kupitia  kwa  mwenyekiti  wao  kina  mama  wanaouza  samaki …

Read More
Mzee achomwa nyumbani kwake Navakholo

Mzee achomwa nyumbani kwake Navakholo

Hali ya taharuki imetanda katika kijiji cha Budonga wadi ya Bunyala Magharibi eneo bunge la Navakholo baada ya mzee mwenye umri  wa miaka 70 kuteketezwa kwa nyumba yake na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo…

Read More
Siasa Matangani Kaunti ya Kakamega

Siasa Matangani Kaunti ya Kakamega

Mbunge wa Lurambi Askofu Titus Khamala anawataka viongozi wa kidini kuwazuia wanasiasa kuhutubia hafla za matanga kuepuka vurumai inayoshuhudiwa kwa sasa hasa katika eneo la Matungu ambalo linajitayarisha kwa uchaguzi mdogo  Akihutubu kwenye mazishi ya…

Read More
Mauwaji katika kijiji cha Shitoli eneobunge la Ikolomani kaunti ya Kakamega

Mauwaji katika kijiji cha Shitoli eneobunge la Ikolomani kaunti ya Kakamega

Hali ya hofu imetanda katika Kijiji Cha Shitoli eneobunge la Ikolomani kaunti ya Kakamega baada ya mwili wa mwanaume mmoja wa miaka 23 kupatikana ukiwa umetupwa ndani ya mto. Akidhibitisha kupatika kwa mwili huo naibu…

Read More
Mwanaume wa miaka 32 amemnajisi mtoto wake wa miaka 12

Mwanaume wa miaka 32 amemnajisi mtoto wake wa miaka 12

Polisi wa Khwsero wanamzuilia mwanamume wa miaka 32 kwa kudaiwa kumnajisi msichana wake wa miaka kumi na miwili mwanafunzi wa darasa la sita katika kijiji cha Emung’weso kata ndogo ya Shirali  Chifu wa kata ya…

Read More
Wanafunzi  kusaidiwa Kupata elimu kaunti ya Kakamega katika wadi ya Butsotso Mashariki

Wanafunzi kusaidiwa Kupata elimu kaunti ya Kakamega katika wadi ya Butsotso Mashariki

Viongozi wa makanisa katika wadi ya Butsotso Mashariki wamehimizwa kushirikiana na makundi ya kijamii kuona kwamba vijana ambao wako makanisani wanapata usaidizi na kuendeleza elimu yao Ni usemi wake mchungaji Prichard Atswenje wa kanisa la…

Read More