LUBAO FREQUENCY MODULATION LIMITED

Uniting Communities
  1. Listen to Lubao FM Live 102.2 FM

Live now:

Up next:

  1. Home
  2. Local news

Category: Local news

Mvinyo aina ya Chang’aa yasababisha Kifo kaunti ya Kakamega

Mvinyo aina ya Chang’aa yasababisha Kifo kaunti ya Kakamega

Mwanamme afariki baada ya kudaiwa kubugia pombe ya chang’aa akiwa na njaa huku familia ya mwendazake ikitoa sarakasi kwa kukwamia mwili wake kwa madai kuwa hawakauwa na hela za upasuaji na mochuari Kakamega. Wanakijii wakiongozwa…

Read More
POLISI ALIYEUAWA NA MUMEWE AZIKWA KAKAMEGA

POLISI ALIYEUAWA NA MUMEWE AZIKWA KAKAMEGA

Hatimaye afisa wa polisi aliyeuawa kwa kupigwa risasi na mumewe ambaye pia alikuwa polisi usiku wa tarehe 6 mwezi huu mjini Nairobi kutokana na mzozo wa kinyumbani, amezikwa hii leo katika kijiji cha Matsakha eneo…

Read More
Vijana wahimiza serikali kutumia mikopo kuwainua kiuchumi

Vijana wahimiza serikali kutumia mikopo kuwainua kiuchumi

Vijana katika wadi ya Butsotso Mashariki eneo bunge la Lurambi kaunti ya Kakamega wanaitaka serikali kutumia fedha inazokopa kutoka nje kwa ajili ya corona kuwasaidia vijana kujiinua kimapato Wakiongea baada ya hafla ya kuchangisha pesa…

Read More
Mshukiwa wa tuhuma za wizi kukamatwa eneo la Shilongo kaunti ya Kakamega

Mshukiwa wa tuhuma za wizi kukamatwa eneo la Shilongo kaunti ya Kakamega

Jamaa mwenye umri wa makamu anazuiliwa katika kituo cha polisi cha Lubao kwa tuhuma za wizi wa kuku na mabati katika kijiji cha Shilongo lokesheni ndogo ya Lubao,eneo bunge la Shinyalu kaunti ya Kakamega Jamaa…

Read More
Mbunge wa Matungu kuwaonya wanakandarasi wanaozembea kazini

Mbunge wa Matungu kuwaonya wanakandarasi wanaozembea kazini

Onyo kali imetolewa kwa wanakandarasi walio na tabia ya kufanya kazi duni katika eneo Bunge la Matungu kuwa muda wao wa kufuja fedha za serikali umepita na kuwa hawataruhusiwa kuendesha kufanya kazi yeyote eneo hilo.…

Read More
Wangwe Ataka Ripoti Ya Jopo La Sukari Kuwasilishwa Bungeni

Wangwe Ataka Ripoti Ya Jopo La Sukari Kuwasilishwa Bungeni

Kiranja wa wengi katika bunge la kitaifa ambaye pia ni mbunge wa Navakholo Emmanuel Wangwe amelitaka jopo la sukari kuwasilisha ripoti yake Bungeni ili kujadili na mapendekezo yake idhinishwe kufufua viwanda vya sukari vilivyokwama eneo…

Read More
Vijana Wa ODM Watetea Oparanya

Vijana Wa ODM Watetea Oparanya

Viongozi wa vijana katika chama cha ODM wamejitokeza na kupinga uvumi unaoenezwa kuwa huenda naibu mwenyekiti wa chama hicho Wycliffe Oparanya akakikura chama hicho na kujiunga na mrengo wa Tangatanga. Wakiongozwa na kiongozi wa vijana…

Read More
Gavana otichilo kupiga marufuku vyakuala matangani

Gavana otichilo kupiga marufuku vyakuala matangani

Gavana wa kaunti ya Vihiga dkt. Wilbur Otichillo amesema kaunti yake imenunua mtambo wa kutoa hewa ya oxjeni kama njia moja ya kukabili janga la korona. Akiongea na wanahabari afisini mwake otichillo amesema kaunti yake…

Read More
Wezi wa nguruwe kufumaniwa eneo la Butere kaunti ya Kakamega

Wezi wa nguruwe kufumaniwa eneo la Butere kaunti ya Kakamega

Washukiwa wawili wa wizi wameuwawa na wakazi wenye hamaki usiku wa kuamkia leo katika kijiji cha Eshikangu, kata ya Lunza eneo bunge la Butere kaunti ya Kakamega baada ya kufumaniwa wakisafirisha nguruwe anayedaiwa kuwa wa…

Read More
Mshukiwa wa wizi kukatwakatwa na kuteketezwa Lughari kaunti ya Kakamega

Mshukiwa wa wizi kukatwakatwa na kuteketezwa Lughari kaunti ya Kakamega

Mshukiwa mmoja wa uhalifu ameuawa kwa kuteketezwa na wananchi kwa tuhuma za kuwaiba kuku na sufuria kwenye boma la mkazi mmoja katika kijiji cha Sossian kata ndogo ya mwamba eneo bunge la Lugari  kaunti ya…

Read More