LUBAO FREQUENCY MODULATION LIMITED

Uniting Communities
  1. Listen to Lubao FM Live 102.2 FM

Live now:

Up next:

  1. Home
  2. Local news

Category: Local news

Familia moja kuangamia baada ya kupigwa na radi kaunti ya Kakamega

Familia moja kuangamia baada ya kupigwa na radi kaunti ya Kakamega

Watu watatu kutoka familia moja akiwemo mama , baba na mtoto msichana wa miaka mitatu wanauguza majeraha mabaya katika hospitali ya misheni ya Ingotse baada ya kupigwa na radi nyumbani kwao katika kijiji cha Emachembe…

Read More
Kivukio Cha Emayungu Kwenye Mto Lusumu Cha Sombwa

Kivukio Cha Emayungu Kwenye Mto Lusumu Cha Sombwa

Hali ya mawasiliano kati ya wenyeji wa kijiji cha Emayungu kata ndogo ya Eshibeye na ile ya Shibuli eneo bunge la Lurambi kaunti ya Kakamega imekatizwa baada ya kivukio cha Emayungu kilichoko kwenye mto Lusumu…

Read More
Msaada kwa watoto wa kike kaunti ya Kakamega

Msaada kwa watoto wa kike kaunti ya Kakamega

Naibu mkurugenzi wa wakfu wa Fernandez Brasa bi.Janet Barasa ameitaka jamii kutowabagua wasichana waliopata mimba za mapema na kujifungua na kwa sasa wanaendelea na masomo yao. Akizungumza alipowakabidhi visodo baadhi ya watoto hao wa kike…

Read More
Wakulima wa miwa kufurahia ongezeko la Bei ya miwa kuongezeka

Wakulima wa miwa kufurahia ongezeko la Bei ya miwa kuongezeka

Siku chache baada ya waziri wa kilimo Peter Munya kutangaza kuongeza bei ya miwa ya shilingi elfu nne na mia mbili kwa kila tani , baadhi ya wakulima kutoka kaunti ya Kakamega wamepongeza hatua hiyo…

Read More
Mwanaume wa umri wa kadri ala nyasi mjini Kakamega

Mwanaume wa umri wa kadri ala nyasi mjini Kakamega

Wachuuzi mjini Kakamega wamebaki vinywa wazi baada ya kushuhudia kisa cha mwanamume mmoja mwenye umri wa kadri kula nyasi kwa tuhuma za wizi. Kulingana na wachuuzi walioshuhudia kisa hicho wakiongozwa na Peter Nyatukai wamesema huenda…

Read More
Mwanafunzi wa kidato cha kwanza amejitia kitanzi eneo la Navakholo kaunti ya Kakamega

Mwanafunzi wa kidato cha kwanza amejitia kitanzi eneo la Navakholo kaunti ya Kakamega

Hali ya simanzi imekubika kijiji cha Ebukhubalo, Butonga kwenye kata ya Lusumu eneo bunge la Navakholo kaunti ya Kakamega baada ya mwanafunzi msichana wa kidato cha kwanza shule ya upili ya Butonga kupatikana amejitia kitanzi…

Read More
Wakaazi kaunti ya Kakamega kuhimizwa kufuata mashaarti ya kudhibiti msambaao wa virusi vya corona

Wakaazi kaunti ya Kakamega kuhimizwa kufuata mashaarti ya kudhibiti msambaao wa virusi vya corona

Hali ya simanzi imetanda katika maeneo ya Lubao wakati wa kuwasilishwa kwa mwili wa mwenda-zake Agnes Isiako katika parokia ya Familia Takatifu Lubao aliyekuwa mwana kwaya maarufu. Ni msafara ulioshuhudiwa ukisindikizwa na magari aina ya…

Read More
Wafanyi biashara kulalamikia hali duni ya soko lao kaunti ya Kakamega

Wafanyi biashara kulalamikia hali duni ya soko lao kaunti ya Kakamega

Wafanyi biashara wa soko la bushili lililo katika wadi ya ingotse-matiha eneo bunge la navakholo kaunti ya kakamega wanaiomba serikali ya kaunti usaidizi wa kuimarisha soko hilo ambalo wanasema wamebaki nyuma kimaendeleo. Wanalilia swala la…

Read More
Akina mama wa chama cha ANC kutaka serikali kutuma pesa za wazee kwa machifu na manaibu wao

Akina mama wa chama cha ANC kutaka serikali kutuma pesa za wazee kwa machifu na manaibu wao

Kundi la akina mama wa chama cha ANC kutoka wadi sita eneo bunge la Lurambi kaunti ya Kakamega wanaitaka serikali kutuma pesa za wazee hadi mashinani kupitia kwa machifu na  manaibu wao pamoja na watawala…

Read More
Onyo kwa wale wasiyofuata sheria kumiliki ploti kakamega

Onyo kwa wale wasiyofuata sheria kumiliki ploti kakamega

Zaidi ya wamiliki mia tano wa ardhi katika kaunti ya Kakamega wako katika hatari ya kupoteza umiliki wa ardhi zao kwa kushindwa kuafikia viwango vya manispaa, hii ikiwa ni juhudi za kuimarisha miundo mbinu mjini…

Read More