LUBAO FREQUENCY MODULATION LIMITED

Uniting Communities
  1. Listen to Lubao FM Live 102.2 FM

Live now:

Up next:

  1. Home
  2. Local news

Category: Local news

Uchaguzi Sokoni Shinyalu

Uchaguzi Sokoni Shinyalu

Wafanya biashara wa soko la shinyalu lililo katika wadi ya isukha ya kati eneo bunge la shinyalu kaunti ya kakamega , wameshiriki kwenye uchaguzi wa viongozi wa soko hilo ijuma ya leo Uchaguzi huo umefanyika…

Read More
Madereva wa trela wahangaishwa na KENHA mjini Eldoret

Madereva wa trela wahangaishwa na KENHA mjini Eldoret

Madereva wa lori kutoka mjini Eldoret wanakadiria hasara baada ya kuhaingaishwa na maafisa wa polisi wa KENHA licha ya kutimiza masharti ya uchukuzi. Akizungumza na wanahabari Joel Mugo akiwa miongoni mwa madereva ambao wanalalamika amesema…

Read More
Msichana wa umri mdogo kapachikwa mimba na kaasisi kaunti ya Siaya.

Msichana wa umri mdogo kapachikwa mimba na kaasisi kaunti ya Siaya.

msichana wa umri mdogo aliyekuwa chini ya utunzi wa kaasisi mmoja wa Kanisa la Legio Maria, sasa familia yake inataka kaasisi huyo kukamatwa kwa maadai ya kampachika mimba katika kijiji cha komenya kaunti ya Siaya.…

Read More
Mwanaume kuwabaka bimti zake wawili

Mwanaume kuwabaka bimti zake wawili

Katika kaunti ya Kirinyagah mwanaume ambaye aliwabaka bintize atajua hatima yake ijayo baada ya hakimu mkuu wa Baricho hakimu Anthony Mwicigi kuagiza ofisi ya urekebishaji tabia kuchunguza kisa hicho kwa kina. Mmoja wa bintize  ana…

Read More
Serikali kushirikiana na viongozi wa mashinani

Serikali kushirikiana na viongozi wa mashinani

Mwakilishi wadi ya Mumias Mashariki eneo bunge la Mumias Mashariki Shaban Otengo ameitaka serikali kushirikiana na viongozi kuwakwamua wananchi mashinani mzigo wa hali ngumu ya uchumi  Akiongea alipowakabidhi msaada wa chakula na fedha za karo…

Read More
Kaunti ya Vihiga kutoa fomu za kufadhili masomo

Kaunti ya Vihiga kutoa fomu za kufadhili masomo

Gavana Ottichilo aidha ameelezea kwamba fomu za kufadhili masomo kwenye shule na vyuo mbalimbali maarufu kama bursary  zipo tayari  na kuwataka wanaohitaji fedha hizo kuzichukua fomu kwenye ofisi za wodi.   Hata hivyo Ottichilo ameelezea hatua…

Read More
Wito kwa serikali ya kaunti ya bungoma kutafuta soko la kahawa

Wito kwa serikali ya kaunti ya bungoma kutafuta soko la kahawa

Wito umetolewa kwa serikali ya kaunti ya bungoma kuingilia kati na kuwatafutia soko wakulima wa kahawa kama njia mojwepo itakayowawezesha kupokea malipo bora yatakayofanikisha miradi yao mbalimbali. Mwenyekiti wa chama cha ushirika cha kapkrong wadi…

Read More
Familia moja kulilia haki nkaunti ya kakamega eneo bunge la likuyani

Familia moja kulilia haki nkaunti ya kakamega eneo bunge la likuyani

Familia moja kutoka mtaa wa mlimani eneo bunge  la likuyani kaunti ya kakamega imejitokeza wazi na kuomba msaada wa kugharamia matibabu ya mwanao ambaye kwa hivi sasa bado amelazwa katika hospitali ya cherengany nursing home…

Read More
Watoto wa mtaani wadai haki yao mjini kakamega

Watoto wa mtaani wadai haki yao mjini kakamega

Watoto wa kurandaranda mitaani mjini kakamega sasa wanataka mashirika yasiyo ya kiserikali ambayo yamekuwa yakituma maombi ya misaada katika mataifa ya ughaibuni kwa niaba yao, kuchunguzwa kwa madai ya ufisadi na kuchukuliwa hatua kali za…

Read More
mwanabodaboda kusakwa na idara ya upelelezi wa jinai

mwanabodaboda kusakwa na idara ya upelelezi wa jinai

Mwendeshaji mmoja wa bodaboda kaunti ya meru anatafutwa  na idara ya upelelezi wa jinai DCI kwa minajili ya kumbaka mschana wa umri ya miaka minane jana. Idara hiyo ya upelelezi inasema kuwa katika bunge la…

Read More