LUBAO FREQUENCY MODULATION LIMITED

Uniting Communities
  1. Listen to Lubao FM Live 102.2 FM
  1. Home
  2. Local news

Category: National News

Mwili wa mwanamke wapatikana mtoni Shinyalu, Kakamega

Hali ya majonzi imetanda katika kijiji cha Ishisembe Kata ya Muranda eneo la Shinyalu Kaunti ya Kakamega baada ya mwili wa mwanamke mmoja wa miaka 53 kupatikana umetupwa kwenye mto Ishaviranga baada ya kudaiwa kunajisiwa.…

Read More

Mahakama Kakamega yafungwa kwa madai ya Korona

Mahakama ya Kakamega imefungwa kirasmi jumatatu tarehe17/8/20 Hadi tarehe 31 mwezi huu wa Agosti baada ya wafanyikazi watano akiwemo Afisa mmoja wa ulinzi kupatikana na dalili za virusi vya corona. Hata hivyo baadhi ya mawakili…

Read More
Michael Joseph ameteuliwa mwenyekiti mpya wa bodi ya Safaricom baada ya Nicholas Ng’ang’a kustaafu baada ya kuhudumu kwa miaka 16

Michael Joseph ameteuliwa mwenyekiti mpya wa bodi ya Safaricom baada ya Nicholas Ng’ang’a kustaafu baada ya kuhudumu kwa miaka 16

Michael Joseph ndiye ameteuliwa na Safaricom kuwa mwenyekiti mpya wa bodi yake baada ya Nicholas Ng’ang’a kustaafu baada ya kuhudumu kwa miaka 16 kama mwenyekiti wa bodi hiyo. Safaricom inatarajiwa kutowa tangazo hilo rasmi wakati…

Read More
Visa 183 vipya vya Korona kutangazwa hii leo na Waziri wa Afya, Dkt. Mutahi Kagwe

Visa 183 vipya vya Korona kutangazwa hii leo na Waziri wa Afya, Dkt. Mutahi Kagwe

Idadi ya virusi vya korona  inaendelea kuongezeka sawia na wale wanaoendelea kupona. Hii leo Visa vya walio ambukizwa virusi vya corona vimekuwa 183 na kufikisha jumla ya watu walio ambukizwa  8,250 chini ya saa ishirini…

Read More
Waziri wa elimu profesa George Magoha Amedhibitisha kuwa wanafunzi wa shule za msingi na za upili  watalazimika kurejelea masomo mwaka ujao

Waziri wa elimu profesa George Magoha Amedhibitisha kuwa wanafunzi wa shule za msingi na za upili watalazimika kurejelea masomo mwaka ujao

Waziri wa elimu profesa George Magoha Amedhibitisha kuwa wanafunzi wa shule za msingi na za upili  watalazimika kurejelea masomo mwaka ujao. Aidha ni watahiniwa wa darasa la nane na wa kidato cha nne tu watakaorejea…

Read More

Afueni kwa waumini baada ya Rais kufungulia makanisa

by Imelda Lihavi Ni afueni kwa wakenya baada ya  Rais Kenyatta kutangaza kufunguliwa kwa awamu kwa maeneo ya kuabudu. Ibada zitafanyika kwa muda usiopungua lisali moja. Hata hivyo watoto walio chini ya miaka kumi na…

Read More

The Vulnerable in Vihiga receive foodstuffs

by Lillian Mbonne The vulnerable in Vihiga County are beaming after the County Government commissioned foodstuff to sub counties to cushion them from the effects Covid-19 pandemic has posed. Speaking at the County headquarters in…

Read More

Mbunge wa Lugari, Ayub Savula kupeleka mswada bungeni dhidhi ya Viongozi wanaokiuka masharti ya serikali

Mbunge wa Lugari Ayub Savula sasa anasema kuwa atapeleka mswada bungeni kutaka kujua ni kwa nini  waziri wa ugatuzi Eugene Wamalwa na mwenyekiti wa baraza la magavana nchini wycliffe oparanya hawawezi kuchukukuliwa hatua za kisheria…

Read More
Sticky

Idadi ya walioambukizwa corona nchini Kenya yafika 3727

by Imelda Lihavi Idadi ya maambukizi ya virusi vya korona nchini imezidi kuongezeka sawia na visa vya wanao pona kutokana na ugonjwa huo. Kufikia hii leo idadi ya maambukizi imefikia 3,727 baada ya visa vingine…

Read More
WECOHAS Commissions a Youth Water Project in Busia County.

WECOHAS Commissions a Youth Water Project in Busia County.

WECOHAS is a western region community-based organization with a presence in Kakamega, Vihiga, Busia, Bungoma and Transnzoia Counties. The organization aims at improving healthcare and social status of the people in these counties through the…

Read More