LUBAO FREQUENCY MODULATION LIMITED

Uniting Communities
  1. Listen to Lubao FM Live 102.2 FM

Live now:

Up next:

  1. Home
  2. National News

Category: National News

Wanachama wa ODM kuhimizwa kueneza siasa ya Amani

Wanachama wa ODM kuhimizwa kueneza siasa ya Amani

Wanachama wa ODM wamehimizwa na mbunge wa eneo la Soy Caleb Kositany kueneza siasa ya amani. Akizungumza baada ya kuzindua mipango kabambe ya kanisa ya AİC mjini Eldoret amesisitiza kuwa wanachama hao wanafaa kufanya ushauri…

Read More
Maandalizi ya uchaguzi Matungu

Maandalizi ya uchaguzi Matungu

Huku yakisalia masaa machache kabla ya wenyeji wa Matungu kupiga kura hapo Alhamisi tarehe nne,tume ya uchaguzi na mipaka IEBC kupitia kwa msimamizi wa uchaguzi kaunti ya Kakamega Grace Rono imesema kuwa mipango yote ya…

Read More
Hofu ya Wizi Wa Kura Eneo Bunge La Matungu

Hofu ya Wizi Wa Kura Eneo Bunge La Matungu

Huku ikisalia masaa machache tu kwenye uchaguzi mdogo wa kumchagua mbunge wa eneola Matungu,,tetezi kadhaa zinazidi kuibuka miongoni mwa viongozi kutoka mirengo mbalimbali ya kisiasa ikiwemo ule wa UDA na ANC Akizungumza na wanahabari mwaniaji…

Read More
Kampeni eneo bunge la Matungu Kaunti ya Kakamega

Kampeni eneo bunge la Matungu Kaunti ya Kakamega

Huku zikiwa zimesalia siku mbili kuelekea katika uchaguzi mdogo  wa kiti cha ubunge cha Matungu utakaoandaliwa mnamo Machi nne viongozi kutoka mirengo tofautitofauti wameendeleza kampeni maeneo tofautitofauti ya Matungu. Akizunguza katika maeneo ya Mayoni katika…

Read More
BBI ndio itawezesha maeneo yote ya nchi kupata maendeleo

BBI ndio itawezesha maeneo yote ya nchi kupata maendeleo

Kiongozi wa chama cha ODM Raila Odinga amesema BBI ndio itaweza kuwezesha maeneo yote ya nchi kupata maendeleo akiongeza kuwa maendeleo vijana na watu wa kike ndio watanufaika pakubwa iwapo watakubali kupitisha BBI. Raila aliyasema…

Read More
Kenya National Qualificationa Authority Kuanzisha mpango wa kupiga marufuku vyeti gushi

Kenya National Qualificationa Authority Kuanzisha mpango wa kupiga marufuku vyeti gushi

Mamlaka ya kutathmini ubora wa vyeti nchini (Kenya National Qualificationa Authority) imenzisha mpango wa kupiga marufuku vyeti vyote ambavyo havijaidhinishwa. Kwenye taarifa kwa wanahabari Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo Dakt.Juma Mukhwana amesema kuwa tayari wamezindua…

Read More
Wafanyikazi Wa Chuo Kikuu cha moi kushiriki Mgomo

Wafanyikazi Wa Chuo Kikuu cha moi kushiriki Mgomo

Wafanyakazi wa Chuo cha Moi wakiwemo wahadhiri na, wametishia kuandamana kwa kile wanasema kilio chao hakisikizwi na usimamizi wa Chuo hicho. Wakiongea nje ya afisi kuu ya Chuo hicho zilizoko behewa la Kesses, wafanyakazi hao…

Read More
Vijana 14 wafaulu Kujiunga na Kikosi cha Polisi Malava

Vijana 14 wafaulu Kujiunga na Kikosi cha Polisi Malava

Kati ya vijana 329 waliojitokeza kushiriki zoezi la kuwasajili vijana kujiunga na kikosi cha polisi lililofanyika katika shule ya msingi ya Isanjiro ilioko mjini Malava vijana 14 peke  ndio ambao wamefuzu  na kuruhusiwa kujiunga na…

Read More
Ukulima kuimarishwa mkoa wa Bonde la Ufa

Ukulima kuimarishwa mkoa wa Bonde la Ufa

Muungano wa kiuchumi Kaskazini mwa Bonde la Ufa ikishirikiana na kiwanda cha ( Fresh Produce Consortium of Kenya) itaanza rasmi kilimo cha maua kwa kuuza bidha zao nchi za nje kuanzia wiki ya kwanza ya…

Read More
Mbunge apatikana msitu wa Burnt Forest kaunti ya Uasin Gishu

Mbunge apatikana msitu wa Burnt Forest kaunti ya Uasin Gishu

Mbunge anayegombea kutoka kaunti ya Kiambu ambaye alikuwa ametekwa Nyara amepatikana katika msitu wa Burnt  Forest kaunti ya Uasin Gishu. Johh Njuguna Wanjiku amekiri kuwa watekaji nyara hao walimchukua kutoka Kiambu tangia saa tano na…

Read More