LUBAO FREQUENCY MODULATION LIMITED

Uniting Communities
  1. Listen to Lubao FM Live 102.2 FM

Live now:

Up next:

  1. Home
  2. National News

Category: National News

Mbolea mpya kuzinduliwa eneo la Magharibi ya kampuni ya Yara

Mbolea mpya kuzinduliwa eneo la Magharibi ya kampuni ya Yara

Wakulima wa mahindi kutoka eneo la Magharibi ya nchi wamepata afueni baada ya  kampuni ya utengenezaji mbolea ya Yara kuzindua mbolea aina ya Microp inayolenga kuongeza mazao pamoja na kutunza rotuba ya mchanga. Akizungumza wakati…

Read More
Wakenya kuelimishwa kuhusu yaliyomo kwenye ripoti

Wakenya kuelimishwa kuhusu yaliyomo kwenye ripoti

Siku moja baada ya tume ya  IEBC kuidhinisha sahihi kupisha mchakato wa BBI ,katibu mkuu wa chama cha ODM Edwin sifuna amesema Kwa sasa kinachohitajika ni wakenya kueza kuelimishwa pia kuhusu yaliyomo kwenye ripoti hiyo…

Read More
Ukarabati wa barabara kuu ya kutoka Kisumu kwenda Busia kurahisisha uchukuzi

Ukarabati wa barabara kuu ya kutoka Kisumu kwenda Busia kurahisisha uchukuzi

Serikali ya kitaifa imetakiwa kuharakisha ujenzi wa barabara kuu ya kutoka Kisumu kuingia mjini Busia ili kurahisisha shughuli za uchukuzi katika eneo hilo la mpakani. Naibu Gavana wa kaunti ya Busia Moses Mulomi, anasema licha…

Read More
Sonko kuhitajika katika makao makuu ya DCI kwa madai ya kuhusika katika ghasia za uchaguzi 2017.

Sonko kuhitajika katika makao makuu ya DCI kwa madai ya kuhusika katika ghasia za uchaguzi 2017.

Aliyekua gavana wa Nairobi Mike Mbuvi Sonko anatakiwa kufika katika afisi za DCI Jumatatu ijayo kuandikisha kauli kutokana na matamshi aliyotoa kumhusu katibu mkuu wa mambo ya ndani Karanja Kibicho. Hii ni kutokana na mkuu…

Read More
TSC  kuwapandisha cheo walimu takriban  elfu moja

TSC kuwapandisha cheo walimu takriban elfu moja

Tume ya Huduma za Walimu, TSC imetangaza rasmi nafasi elfu moja za kuwapandisha vyeo walimu kuanzia Februari mwezi ujao. TSC inalenga kuwapandisha vyeo walimu mia nne tisini na wawili wa shule za upili walio chini…

Read More
Kiwanja cha Kipchoge mjini Eldoret kaunti ya Uasin Gishu kitakamilika kabla ya mwezi wa tano mwaka huu.

Kiwanja cha Kipchoge mjini Eldoret kaunti ya Uasin Gishu kitakamilika kabla ya mwezi wa tano mwaka huu.

Kiwanja cha Kipchoge mjini Eldoret kaunti ya Uasin Gishu kitakamilika kabla ya mwezi wa tano mwaka huu. Waziri wa michezo Amina Mohammed alinena maneno haya baada ya kukagua kiwanja cha Kipchoge Keino na kusema kuwa…

Read More
St Luke’s Kimilili imefungwa kwa muda usiojulikana

St Luke’s Kimilili imefungwa kwa muda usiojulikana

Shule ya upili ya wavulana ya St Lukes Kimilili iliyo katika eneobunge la  Kimilili imefungwa kwa muda usiojulikana na wanafunzi kutumwa nyumbani kwa likizo ya lazima baada yao kugoma na kuharibu mali  shuleni humo usiku…

Read More
MWANIAJI WA UDA APIGWA JEKI MATUNGU

MWANIAJI WA UDA APIGWA JEKI MATUNGU

Mgombezi wa kiti cha eneo bunge la Matungu kupitia chama cha UDA kwenye uchaguzi mdogo Alex ,Lanya amepigwa jeki baada ya Eugene Murunga mwanawe aliyekuwa mbunge wa eneo hilo marehemu Justus Murunga aliyekuwa ameidhinishwa na…

Read More
NELSON HAVI AITAKA IEBC IENDELEZE MIPANGO YA UCHAGUZI MDOGO NAIROBI

NELSON HAVI AITAKA IEBC IENDELEZE MIPANGO YA UCHAGUZI MDOGO NAIROBI

Akizungumza kwenye kituo kimoja cha habari humu nnchini jumanne usiku,mwenyekiti wa wanasheria Nelson Havi amesema IEBC inalazimika kuendelea na mipango ya uchaguzi mdogo itakayofanyika machi,Nairobi.Alichangia kuwa kutokuwa na naibu gavana ofisini wakati aliyekuwa gavana Sonko…

Read More
ANC NA FORD KENYA NI MOJA/KABUCHAI BUNGOMA

ANC NA FORD KENYA NI MOJA/KABUCHAI BUNGOMA

Chama cha Ford Kenya na kile cha ANC vitashirikiana kwenye chaguzi ndogo za Kabuchai kaunti ya Bungoma na Matungu kaunti ya Kakamega. Akizungumza alipoandamana na mgombezi wa chama cha Ford Kenya kwenye uchaguzi mdogo wa…

Read More