LUBAO FREQUENCY MODULATION LIMITED

Uniting Communities
  1. Listen to Lubao FM Live 102.2 FM

Live now:

Up next:

  1. Home
  2. National News

Category: National News

Siasa za eneo bunge la Matungu

Siasa za eneo bunge la Matungu

Hatimaye wagombeaji 15 akiwemo mama mmoja wameidhinishwa rasmi kugombea kiti cha ubunge cha Matungu kwenye uchaguzi mdogo wa tarehe nne mwesi Machi. Wa mwisho kuidhinishwa ni aliyekuwa mbunge wa zamani David Were wa chama cha…

Read More
WITO KWA WAZAZI NCHINI KUWA KARIBU NA WANAO KWA KUWAPA USHAURI

WITO KWA WAZAZI NCHINI KUWA KARIBU NA WANAO KWA KUWAPA USHAURI

Wito umetolewa kwa wazazi humu nchini kuwa karibu na wanao kwa kuwapa ushauri nasaha kama njia mojawapo itakayosaidia kurejesha nidhamu  miongoni mwao. Akihutubu kwenye hafla ya mazishi ya Godwin Barasa eneo la Muyekhe eneobunge la…

Read More
Hisia mseto zimeibuka baada ya Rais Kenyatta kutoa ujumbe wake kwa mwenzake wa Uganda Rais Museveni kwenye mtandao

Hisia mseto zimeibuka baada ya Rais Kenyatta kutoa ujumbe wake kwa mwenzake wa Uganda Rais Museveni kwenye mtandao

Wakenya wengi wanazidi kutoa hisia zao mtandaoni kuhusu ni kwa nini ujumbe wa heri njema wa Rais Uhuru Kenyatta kwa mwenzake wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni kwenye mtandao rasmi wa ikulu ya Rais umefutwa. Kwenye…

Read More
LUSAKA AZURU HOSPITALI YA ROYO MJINI MALAVA

LUSAKA AZURU HOSPITALI YA ROYO MJINI MALAVA

Spika wa bunge la seneti Keneth Lusaka amesifia mtambo mpya wa kiafya uliyozinduliwa rasmi kwenye hospitali ya kibinafisi  ya Royo mjini Malava kaunti ya Kakamega akisema utawasaidia wananchi wengi katika eneo hilo Akizungumza baada ya…

Read More
WAGOJWA 412 WAMEPONA KUTOKANA NA UGOJWA WA VIRUSI VYA CORONA

WAGOJWA 412 WAMEPONA KUTOKANA NA UGOJWA WA VIRUSI VYA CORONA

Kulingana na wizara ya afya humu nchini visa vya corona vinaendelea kuongezeka. Hii leo visa vipya vya maambukizi ya korona ni 123 na kufikisha idadi ya walio ambukizwa ugojwa huo kuwa 98,555. Visa hivyo vipya…

Read More
GAVANA OPARANYA ATANGAZA KUWAFUTA KAZI WAHUDUMU WA AFYA WALIO MGOMONI KAUNTI YA KAKAMEGA

GAVANA OPARANYA ATANGAZA KUWAFUTA KAZI WAHUDUMU WA AFYA WALIO MGOMONI KAUNTI YA KAKAMEGA

Serikali ya kaunti ya Kakamega imetangaza kuwafuta kazi wahudumu wake wa afya wanaoshiriki mgomo na kuajiri wahudumu wengine wapya kuanzia juma lijalo. Akizungumza katika eneo bunge la malava gavana wa kaunti hiyo Wycliffe Oparanya amewasuta…

Read More
154 recoveries from Corona virus Kenya

154 recoveries from Corona virus Kenya

In a statement to media houses, the Ministry of Health said the new cases were from 3,369 samples.  The total number of confirmed Coronavirus cases in the country has hit 98,432 after 98 new infections…

Read More
Mbunge Washiali amewarai wakaazi wa jamii ya Mulembe kuhakikisha kuwa wanasalia serikalini

Mbunge Washiali amewarai wakaazi wa jamii ya Mulembe kuhakikisha kuwa wanasalia serikalini

Kiranja wa zamani kwenye bunge la kitaifa Ben Washiali amewarai wakaazi wa jamii ya mulembe kuhakikisha kuwa wanasalia serikalini ili kunufaika pakubwa na maendeleo haswa mashinani Akizungumza sokoni Shianda eneobunge la Mumias Mashariki Washiali ametaja…

Read More
ANC Wilayani Navakholo Wameshtumu Chama cha ODM

ANC Wilayani Navakholo Wameshtumu Chama cha ODM

Baadhi ya wafwasi wa Chama Cha ANC wilayani Navakholo wameshtumu Chama Cha ODM kwa kutumia mbinu ghushi kwenye kampeni za kushinda uchaguzi mdogo wa Matungu Wakiongozwa na Ben Shibona wafwasi hao wamemtahadharisha naibu mwenyekiti wa…

Read More
Waziri wa elimu Profesa George Magoha kuipongeza shule ya msingi ya Bungoma DEB

Waziri wa elimu Profesa George Magoha kuipongeza shule ya msingi ya Bungoma DEB

Waziri wa elimu Profesa George Magoha, ameipongeza shule ya msingi ya Bungoma DEB kuwa iliyo miongoni mwa shule ambazo zinazingatia kikamilifu masharti ya wizara ya afya kuzuia maambukizi ya Korona nchini. Akizungumza alipozuru shule hiyo,…

Read More