LUBAO FREQUENCY MODULATION LIMITED

Uniting Communities
  1. Listen to Lubao FM Live 102.2 FM
Visa 183 vipya vya Korona kutangazwa hii leo na Waziri wa Afya, Dkt. Mutahi Kagwe

Visa 183 vipya vya Korona kutangazwa hii leo na Waziri wa Afya, Dkt. Mutahi Kagwe

Idadi ya virusi vya korona  inaendelea kuongezeka sawia na wale wanaoendelea kupona. Hii leo Visa vya walio ambukizwa virusi vya corona vimekuwa 183 na kufikisha jumla ya watu walio ambukizwa  8,250 chini ya saa ishirini…

Read More
Waziri wa elimu profesa George Magoha Amedhibitisha kuwa wanafunzi wa shule za msingi na za upili  watalazimika kurejelea masomo mwaka ujao

Waziri wa elimu profesa George Magoha Amedhibitisha kuwa wanafunzi wa shule za msingi na za upili watalazimika kurejelea masomo mwaka ujao

Waziri wa elimu profesa George Magoha Amedhibitisha kuwa wanafunzi wa shule za msingi na za upili  watalazimika kurejelea masomo mwaka ujao. Aidha ni watahiniwa wa darasa la nane na wa kidato cha nne tu watakaorejea…

Read More

Afueni kwa waumini baada ya Rais kufungulia makanisa

by Imelda Lihavi Ni afueni kwa wakenya baada ya  Rais Kenyatta kutangaza kufunguliwa kwa awamu kwa maeneo ya kuabudu. Ibada zitafanyika kwa muda usiopungua lisali moja. Hata hivyo watoto walio chini ya miaka kumi na…

Read More

The Vulnerable in Vihiga receive foodstuffs

by Lillian Mbonne The vulnerable in Vihiga County are beaming after the County Government commissioned foodstuff to sub counties to cushion them from the effects Covid-19 pandemic has posed. Speaking at the County headquarters in…

Read More

Mmoja aaga katika ajali Malava

Mhudumu mmoja wa bodaboda amefariki papo hapo huku abiria wake wawili wakisazwa na majeraha mabaya kwenye barabara ya Kakamega-Webuye karibu na kituo cha mafuta cha Holiday mjini Malava. Kulingana na waliyoshuhudia ajali hiyo,ni kuwa mwendazake…

Read More

Mbunge wa Lugari, Ayub Savula kupeleka mswada bungeni dhidhi ya Viongozi wanaokiuka masharti ya serikali

Mbunge wa Lugari Ayub Savula sasa anasema kuwa atapeleka mswada bungeni kutaka kujua ni kwa nini  waziri wa ugatuzi Eugene Wamalwa na mwenyekiti wa baraza la magavana nchini wycliffe oparanya hawawezi kuchukukuliwa hatua za kisheria…

Read More
Sticky

Idadi ya walioambukizwa corona nchini Kenya yafika 3727

by Imelda Lihavi Idadi ya maambukizi ya virusi vya korona nchini imezidi kuongezeka sawia na visa vya wanao pona kutokana na ugonjwa huo. Kufikia hii leo idadi ya maambukizi imefikia 3,727 baada ya visa vingine…

Read More
Sticky

Visa vinne vya korona vyaripotiwa Ikulu ya Kenya

by Imelda Lihavi Watu wanne wapatikana na virusi vya korona katika ikulu ya kenya Nairobi. Kulingana na msemaji wa ikulu kanze dena, wanne hao walifahamika wakati vipimo vya jumla vilifanyika siku ya alhamisi 11.6.2020.Walioambukizwa wamelazwa…

Read More

Mshukiwa wa wizi wa ng’ombe akamatwa Lubao

by Musa Brian Mwanaume mwenye umri wa miaka 30 , kutoka  eneo la shikuhula , kaunti ya kakamega , ametiwa mbaroni kwa tuhuma za kuiba ng’ombe , majira ya usiku. mwathiriwa Wilson Kethi ambaye ni…

Read More

Suspected cattle thief arrested in Lubao

by Janepher Okonga Police officers and the area Ass. chief, Lubao sub-location madam Suluvei Ashiono, have managed to arrest a man aged 30yrs who allegedly stole a cow from Shikuhula area, Kakamega  County. Wilson keth…

Read More