Familia ya Haila Asanaki kijana aliyefariki baada ya kupigwa risasi kimakosa na polisi alhamisi jioni mtaani Kiamaiko jijini Nairobi inalilia haki baada ya kifo cha mpedwa wao
Familia hiyo inahofia kunyimwa haki baada ya kesi kadhaa sawia na hizo kuisha tu bila haki kutendeka
Kijana huyo alidaiwa kupigwa risasi akiwa kwenye gorofa ya tatu alipokuwa akishuhudia mvutano kati ya polisi na watu kadhaa kwenye gari ambalo polisi walikuwa wakifanya msako
By James Nadwa