Mjadala kuhusu uhalali wa tume ya IEBC kuendeshea uchaguzi mkuu ujao unazidi kuzua tofauti miongoni mwa walokuwa wanachama wa muungano wa NASA
Seneta wa Kakamega Cleophas Malala ametofautiana na vigogo wa ODM wanaoshinikiza mageuzi kwenye tume hiyo
Wabunge wa chama cha ODM wakiongozwa na Opiyo Wandayi na Gladyas Wanga wa wanasisitiza kuwa Chebukati lazima ang’atuke na uongozi wa tume hiyo kufanyiwa marekebisho na kwani hawana imani na tume hiyo
By James Nadwa