Viongozi wa jamii ya mulembe wametakiwa kuungana na kutoa kiongozi mmoja atakaye peperusha pendera ya Urais ifikapo mwaka 2022 ili aungwe mkono na jamii yote kwa ujumla .

Wakizungumza na idhaa hii mjini Malava wanabodaboda wakiongozwa na Isaac Mukaramoja wamehoji kuwa jamii zote nchini zimeungana na zimekuwa zikiombea mgombea wao kila mwaka huku jamii ya mulembe ikitumiwa kama taraja ya kuingia ikulu.

Aidha mwana bodaboda Julius Fulani amesema kuwa wamekuwa wakitumiwa kama daraja wakati wa kampeni kisha baadaye wanasaulika wakitaja miundo misingi na ushuru kuwa kikwazo katika kazi yao.

sadmin

By sadmin

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE