Kwenye kikao na wanahabari ofisini mwake Kipyego anasema kuwa hili limekuwa kizingiti kwa utendakazi wao Mkuu huyo wa polisi amewataka vyongozi hao wa kisiasa kumpa wakati rahisi wa kutekeleza sheria zikiwemo za kuzuiya uhalifu na hata msambao wa virusi vya Corona

 

 Hata hivyo ametaja sheria inayowalinda watoto Kama tatizo kwenye vita dhidi ubakaji katika jamii

 

Haya yanajiri huku eneo hilo la Khwisero likishuhudia ongezeko la visa vya ubakaji cha hivi punde kikihusisha mama na mwanawe walovamiwa na genge la watu watatu ambao waliwabaka kisha kutoroka Baadaye wawili walitiwa mbaroni na kufikishwa mahakamani huku mmoja akiwa bado mafichoni Kulingana na kamanda huyo wa polisi njama hiyo ilipangwa na mfanyikazi wa nyumba hiyo ambapo amewatahadharisha

 

By James Nadwa

 

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE