Shirika la kibashara la Kenya National Chambers of Commerce and Industries limenyoshea lawama serikali ya kaunti ya Kakamega kwa kupandisha ushuru wa leseni kwa wafanyibiashara kupita kiasi sawa na kuwatoza ada ya kukabili jango la mioto.

Afisa mkuu washirika hilo kaunti ya Kakamega Victor Wambani, anasema serikali ya kaunti hiyo inaenda kinyume na katiba kwa kupandisha ushuru pasina ya kuwahusisha wala kuwafahamisha wafanyibiashara hasa wakati huu wa janga la korona.

Vilevile ameelezea kutamaushwa kwake na hatua kaunti hiyo kuongeza ushuru wa kukabili mikasa ya mioto sawa na kuwatoza wafanyibiashara kwa kuweka michoro au alama ya biashara zao kando na ushuru wa leseni.

By Linda Adhiambo

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE