Kwaheri Laban wa Shihingo…

Wakaazi wa kijiji cha Shihingo, eneo la Lubao, Kaunti ya Kakamega; hatimaye waaga Ngugu yao Laban Kuyanda heshima za mwisho kabla ya mazishi yake iliyofanyika leo tarehe 12, mwezi wa tisa, kwa boma lake Shihingo.
Arrival at Home
Coffin
Mourning
Lubao FM na Witaba Foundation wametuma risala za rambirambi kwa jamaa na marafiki wa Laban.
Twaomba Mungu aiweke Roho yake Mahali Pema.Amen.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *