LUBAO FREQUENCY MODULATION LIMITED

Uniting Communities
  1. Listen to Lubao FM Live 102.2 FM

Live now:

Up next:

Madereva wa trela wahangaishwa na KENHA mjini Eldoret

Madereva wa lori kutoka mjini Eldoret wanakadiria hasara baada ya kuhaingaishwa na maafisa wa polisi wa KENHA licha ya kutimiza masharti ya uchukuzi.

Akizungumza na wanahabari Joel Mugo akiwa miongoni mwa madereva ambao wanalalamika amesema kuwa licha ya kutimiza masharti ya uchukuzi maafisa hao wa polisi wamekuwa wakiwakamata na kuwashurutisha kwa kuwaitisha hongo kwa hivyo wamekuwa wakipitia wakati mgumu kusafirisha bidhaa zao.

Vile vile Samkiz mugo akiwa msafirishaji amedai kuwa maafisa hao baada ya kukamata malori yao huchukuwa muda kutoa uamuzi na inawalazimu kuenda hadi katika ofisi ya KENHA kuwasilisha lalama za dhulma.

Story by Sharon Lukorito

Charles Oduor

Read Previous

Wauguzi wamtaka rais Uhuru Kenyatta kusuluhisha mzozo kati yao na Magavana kuhusu malipo.

Read Next

Uchaguzi Sokoni Shinyalu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *