Mahakama ya Kakamega imefungwa kirasmi jumatatu tarehe17/8/20 Hadi tarehe 31 mwezi huu wa Agosti baada ya wafanyikazi watano akiwemo Afisa mmoja wa ulinzi kupatikana na dalili za virusi vya corona.

Hata hivyo baadhi ya mawakili katika mahakama hiyo chini ya wakili Ken Echesa sasa wanataka wateja wao kuwa na subira Hadi vikao vya mahakama hiyo vitakavyorejelewa. Hii inajiri siku chache baada ya mahakama inayoshughulikia kesi za uhalifu kusitishwa Kwa wa siku 14 baada ya viongozi wa mashtaka kadhaa kudaiwa kupatikana na dalili za virusi vya corona.

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE