Michael Joseph ndiye ameteuliwa na Safaricom kuwa mwenyekiti mpya wa bodi yake baada ya Nicholas Ng’ang’a kustaafu baada ya kuhudumu kwa miaka 16 kama mwenyekiti wa bodi hiyo. Safaricom inatarajiwa kutowa tangazo hilo rasmi wakati wa mkutano wao wa kila mwaka hii leo.
Jukumu la mwenyekiti wa bodi ni uongozi wa bodi na kusimamia operesheni ili kuunda ajenda ifaayo kwa ufanisi wa kampuni hiyo.
Micheal Joseph alijiunga na kampuni ya Safaricom mwaka wa 2008 tarehe 8 mwezi Septemba. Tangu Julai mwaka wa 2019 hadi machi mwaka huu wa 2020 michael joseph ndiye aliyekua afisa mkuu wa mtendaji wa kampuni hiyo.

Report by Imelda Lihavi

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE