Mwakilishi wa mama kaunti ya Kakamega katika kaunti ndogo ya Shinyalu Musa Majoni anawarai wakaazi wa eneo bunge la Shinyalu kaunti ya Kakamega kuhusu miradi za mama kaunti ya Kakamega Elsie Muhanda kuwa zinaendelea katika kaunti nzima.

Akihutubia wakaaji wa kijiji cha Magakha baada ya kuzuru miradi za mama kaunti alizoanzisha katika maeneo hayo ya ujimbaji maji, pia anawaahidi miradi zilizoahidiwa kukamilika.


Kuhusu watahiniwa wa kidato cha nne wanaoendelea kukamilisha mtihani wa kitaifa  ana haya ya kusema.


Hata hivyo anazidi kuwakumbusha kuhusiana na miradi mbalimbali zikiwemo za mahema kwamba bado mama kaunti elsie muhanda anafwatilia kuona kwamba anafikia makundi.

Vilevile kuhusiana na janga la covid-19 musa anasema kwamba kazi hii imetengwa katika awamu jinsi itakavyoendeshwa kufikia mwananchi.

By Sajida Wycliffe

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE