Wakaazi wa kijiji cha Mwikhupo wadi ya Sang’alo Mashariki eneobunge la Kanduyi kaunti ya Bungoma wanalalamikia miundomsingi duni katika eneo hilo
Wakaazi hao wanadai kukosa daraja ikiwabidi kusafiri mwendo mrefu wakitafuta maji katika kaunti kakamega
Wakati mwingine inawabidi kutumia mashua ambayo wanahofia usalama wao wanapovuka kuelekea ngambobya pili kutafuta maji
Sasa wanawataka vyongozi eneo hilo kuwajibikia na kuwajengea daraja ili kuwaepusha na dhiki inayowakumba
By James Nadwa